Mavi debe!!

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
T91V2.jpg
 
Kweli mbele ya huu mtambo wa mauaji na kamera lazima iwe mavi debe. Mie naona mavi pipa maana inataka moyo si kawaida.
 
Hapo alitakiwa kumpa jab badala ya kuanza kuduwaa na kukata tamaa!!! Kama hiyo gari haina top slide roof alifuata nini huko juu!!!
 
Akome na kiherehere chake cha kutoka nje ya gari!Si alitaka apige picha vizuri haya apige sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom