Mauzo ya Jezi Mpya Ya Simba 2022/2023 yatavunja rekodi.

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,053
24,446
Ikiwa imebaki muda mfupi kwa Simba Day kufanyika, jezi mpya bado haijatangazwa rasmi!
Wapo wanaobeza na kuona kwamba kuna makosa yaliyofanyika!
Ukweli ni kwamba hili limekaa kimkakati zaidi!
Jezi mpya itatolewa kabla ya Simba day wakati wowote kuanzia hivi sasa, na itatikisa katika mauzo yake kwa msimu huu!
Hakuna asiyejua kuwa namba hazidanganyi, na hili litabainika ndani ya masaa 24 baada ya jezi kutangazwa rasmi!
Maduka yote ya Vunja bei na yanayouza vifaa vya michezo yatafurika wateja!
Wapo watu wengi sana ambao wamekwisha weka oda.
Mianya ya watu kuuza jezi fake hasa siku ya simba day imezibwa na hao wanaolalama ni miongoni mwa wadau wakubwa wa kufyetua jezi fake!
Kongole Simba!
 
Zitauzwa laki 3 na ndani ya masaa 24 zitauzwa jersey million 20.
Kwa taarifa yako hivi sasa zipo oda zaidi ya million 500 kutoka mataifa mbalimbali!
kwa uchumi gani wa kununua jezi shs 300,000?
Yaani mshahara wa chini wa miezi miwili mtu atumie kununulia Jezi? hampo serious!!!
 
Back
Top Bottom