Azam FC yazindua rasmi Jezi mpya ya msimu wa 2022/2023

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Klabu ya Azam FC leo Julai 29, 2022 imezindua rasmi Jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2022/2023.

Nyeupe (Home Kit)
Blue (Away Kit)
Nyeusi (Third Kit)

FB_IMG_1659098777000.jpg
FB_IMG_1659098814493.jpg
FB_IMG_1659099098873.jpg
 
Habari ya uzuzri wa jezi Kila mtu anakubali Chama lake na kuponda ya mwenzake.. Obviously ni wivu tu.. naona Makolo wamekaza fuvu kuponda jezi ya Yanga... Hata dukani Kila mtu anapenda akipendacho kama Makolo wanavyopenda Mikia huko nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom