Mauzauza ya mke wangu

Asanteni kwa ushauri wenu.
Nimeanza kuufanyia kazi, juzi nimempa kisago kwanza level one.
 

Ahsante kwa ushauri mzuri... Mtoa mada akiufuta huu ataiokoa ndoa take
 
Una moyo wa chuma! Maamuzi unayo mwenyewe ila mie nisingeweza
 
Kukimbia nyumba sio solution,ukisimama kama mwanaume rijali mbona atanyooka tu? Umezidisha upole na kusahau nafasi yako Ndiomana anakufanya anavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…