Asante mkuu lakini pia nashtuka nakutana na hali hiyo.Kama weww ni mkristo tafuta msaada wa kiroho, kwa kiongozi wako.
Ndoto ni mlango ambao adui(shetani na vibaraka wake) wanaweza kuutumia kuleta hofu ndani ya mtu au madhara mengineyo. Kabla ya kulala muombe Mungu na ufunge mlango wa ndoto ili adui asiutumie.
Nenda Kanisani, kama huwa huendi. Kama huwa unaenda, kamweleze mtumishi wa Mungu. Tiba yake hii kitu inapatikana Kanisani tu basi!Habar wakuu
Naombeni ushauli wenu mara kadhaa imekuwa ikinitokea, kila nikilala haijalishi nalala mchana au usiku, juzi usiku nililala kushtuka usingizini najiona nimeinua mkono mmoja juu halafu nimeshika kisu nataka nijichome fahamu zinaludi vizuri najikuta nimenyoosha mkono tupu juu
Jana tena mchana wakati nimelala nakuja kushtuka mwili hauna nguvu yakufanya chochote najiona nadondoka kitandani kwenda chini nimetanguliza kichwa, fahamu zinaludi vizuri najiona nipo kitandani nimelala kawaida viungo ganzi.
ushauri wakuu hili ni tatizo gani.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo namba mbili ndo.kiboko yaoPole sana... mara nyingi ni uchovu na hofu ya maisha.
Jaribu hivi.
1. Lala kwa ubavu au kifudifudi
2. Hakikisha unapolala uelekeo wa miguu ni mlangoni... kama kitanda hakipo hivyo kibadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....baharia...Habar wakuu