Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,210
- 829,203
- Thread starter
- #21
Yaani ukiona napost basi ujue nina free time..na nimeshaingiza kitu kwenye kibubuUnless uko nje ya nchi basi hulali kabisa otherwise nafwatilia post zako hasa za usiku wa manane kila SIKU.
Usingizi wangu ni 4hours tu .. The rest ni meditation na JF na ndoa.. Ila kuna wakati nilikuwa mlozi😂