Mauwaji ya Waarabu Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauwaji ya Waarabu Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Mar 13, 2010.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ&feature=player_embedded"]YouTube- zanzibar 1964 part 1 مجزرة زنجبار عم 1964 الجزء الاول[/ame]#

  Was this polical or religious?
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc&feature=related"]YouTube- Broadcast Yourself.[/ame]
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenikumbusha mbali huo mwaka 1964 ndio niliozaliwa mimi hapo Dares-salaam asante sana kwa video yako utanifanya leo nisilale nimkumbuke Marehemu mama yangu mzazi

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=d3ctskomyHg&feature=related"][​IMG][/ame]
  [​IMG]
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu pole sana kwa kupotewa na Mama Mzazi.

  Niliziona sehemu sehemu nikaamua tujikumbushe wapi tunatoka.

  Mkuu nategemea ulilala salama.
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  hivo vipande tu google movie african addio ndo utaona ukweli wa siasa za maziwa makuu,kenya,rwanda urundi,uganda na tz
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Madege haya yanayoonekana hayapo katika visiwa vya Zanzibar na wakati wa Mapinduzi hakukuwa na vyama vya misaada vilivyokuwa vikishughulikia maiti kama inavyoonekana kwenya video hii.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ni ushaidi gani unao kuonyesha kuwa hizo ndege hazikuwepo Zanzibar?
   
 9. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  mijitu mibishi,hiyo coverage imechukuliwa live weye,kusiwepo hivo videge wakati kipindi hicho ndo kwanza ukoloni umeondoka?kila kitu kilikuwepo kabla kina yakhe hawajaanza siasa zao na kuendekeza kahawa na ubwabwa na kucheza bao badala ya kufanya kazi
   
 10. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Naenda kushoto unaenda kulia. Iangalie tena hiyo video ya pili na utaona madege (ndege wakubwa nyama sio aeroplane)
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii ndio tabia ya Kibongo! Unacholetewa unakidakia. Angalia tena hizo video na baadae utafakari na baadae ujiulize of all people kwanini Waarabu ndio wanaoitangaza.
  Iangalie coverage na ujiulize hata baada ya Mapinduzi kulikuwa na watu wa misaada waliokuwa wakishughulikia maiti?
   
 12. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,063
  Trophy Points: 280
  Hizi video zinahitaji kufikiri vizuri mno, kuliko kukurupuka kutoa comments,..maana dunia yetu hii ina mambo mengi ya kisanii!
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nikakwambia google hiyo movie uangalie movie nzimausifuate hivyo vipande vya waarabu wameweka,hiyo movie inazungumzia matatizo ya siasa ya afrika mashariki na kati kwa ujumla.
   
Loading...