Mnajua nyinyi wanaume sometimes huwa mna uliza swali ukishajibiwa hapana na wewe ulitrgemea jibu LA ndiyooo hapo ndipo mikanganyiko huanziaaa....2 ningumu sana MTU kuwa muwaziii mm kuna me nilimuulizaga akaniambia 3 ila kadiri tunavyozidi kuishii anajichanganya kwenye story zake mpk wakafika tano.......sijamuuliza nikauchuna Siku ya siku tumeka simu inaita kupokea hataki mi nikapokea nakuta ni mwanamke na muuliza ooh Huyo ndiyo tuliachana nikamuuliza km mliachanaa mbn anaendelea kupiga simu ovyooo Pooh sijui mwenyewe sema anabahati sikuwa nimempenda kihivyoo alikuwa mshambs mshamba