Mauongo ya wanawake yanayowakera wanaume

Mauongo ya wanawake yanayowakera wanaume

Namba 4,
hicho kitu kinanikeraga sana,
Unakuta kitu hakina hata pakushikia break lakini unakuta mtu anajidai kama vile ni mara ya pili toka azaliwe,
Tena usiombe ukutane na hawa walokole feki.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hiyo no 4 ni kweli kabisa imewahi nikuta siku tumepanga tukalale lodge, kufika romance nini nataka kuweka kitu akaruka kweli kweli eti unaniumiza.
Nikashangaa na kibamia hiki nakuumiza kweli? akagoma kutoa mzigo nikasema hunijui sababu ilikua night nikageuka nikalala mpaka alfajiri.Akaniamsha nikagoma na mimi akalia lia nikapiga mzigo khaaa breki.............. siku njema.
 
Hiyo nambari 6, wenzangu huwa mnafanyaje? Maana mimi..........
Kuna mmoja aliniambia kuwa yuko kwenye hiyo Na.6, nikamwambia haina shida, tulale ili tupumzike bila kufanya chochote, tukalala na kukumbatiana kwa muda huku tukiongea, mara nikashangaa anaanza kunipapasa, nikajifanya mgumu bila kumgusa, akazidisha hadi kumgusa King George, nami nikaanza kumlamba lamba kwa muda wa kama saa nzima maeneo sensitive ikiwa ni pamoja na hcuhcu, nilipogusa pichu, yeye mwenyewe kanisaidia kushusha haraka haraka, nikawa napiga ile ya kule Bukoba nikihofia kuingia nisikutane na Ban Ki Moon, weeee baada ya kupiga hiyo Nshomile kama robo saa hivi, nikashangaa ananivutia ndani, baada ya kukamilisha mechi, nikauliza mbona sijaona Msimbazi, akabaki kucheka tu!!!!
 
Mwaga hela mwana hutopata usumbufu hata kidogo utaambiwa ukweli wote na maku utalazimishwa mpka kuipiga deki kwa ulimi
Unaweza kumwaga hela na vilevile ukaambiwa mtu yuko period, halafu hio period ni kila wiki, anasahu kwamba last week alikuambia sababu hio hio. Tumerogwa wanaume!
 
nakumbuka mbali kuna demu alikuwa anamengwa na msela kitaan afu mi anakula pesa mzigo sipati na demu alikuwa mzuri balaa tupu hiyo ya kusema nipo period ni kwel huyo demu kala sana vihela vyangu naye kuna siku alijisahau kuwa kuna siku kaniambia yupo period . siku hiyo kaja kwangu baada ya Mastory huku najua yupo safi kabisa hayupo period (maana alikuja kutaka hela ya kodi nimsadie bila hivyo anatimuliwa nikwambia aje kwangu) si ile nataka mzigo aka anza ohooo sijui nipo p nikasema toa surual nione kama upo P nakuacha uende nipe nikague kama hutak sikupi pesa huku nimeshika bunda la pesa mkononi(lengo langu ilikuwa atoe tu surual ili nipate upenyo wa kufanya yangu) akavua bhana si nakuta kavaa kabisa ped wadada wana hila akipanga kukunyima mzigo ila Mzee mzima nikaleta utemi kidogo na nikasema hapa hapa kuja kupekenyua papuchi naona ipo safi aisee nikasema hapon nikaforce mzigo yule manzi nilipiga mechi moja ya hisia na hasira sana kila nikikumbuka gharama zangu ,dharau zake na usumbufu wake bas kitu kinakuwa hewan baada ya kichapo cha maana sana plus ufundi mzuri nilimkojoza Mara kibao ile katerelo alikuwa hajawahi kufanyiwa vizuri siku hiyo alikojoa had machoz yalimtoka(sisemi hii kama kuji proud but ndiyo ilikuwa hivyo) baada ya hiyo siku alipotea siku kadhaa ila baadaye nikawa nakula mzigo bure tu .

Ukibahatika kumgonga demu siku ya kwanza mpe ufundi mtamu na vitu adimu had aweze kukojoa vizur utampata tu next time ila ukikosea siku ya kwanza Mkubwa inakuwa imekula kwako kuja kurudi tena inabid ufanye kaz kwel kwel maana anaweza asirudi kabisaaa

Daaaaah
 
View attachment 506608

Isipokuwa tu wale wanawake wenye mapenzi ya dhati, lakini kuna wale ambao wana sura mbili yaani ni waongo waongo hakuna mfano.

Ngoja nitaje miongoni kwa mauongo yao yanayotukera sana sisi wanaume.

1.Ni rafiki yangu tu...

Hapa utakuta anaye rafiki wa kiume anayewasiliana naye mara kwa mara pamoja na kwamba mko kwenye uhusiano na ukimuuliza anakujibu, huyu ni rafiki yangu tu, lakini urafiki wao ni wa kutiliwa mashaka. Wanakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na mwanaume huyu anapewa kipaumbele kwa kila kitu. Je unataka kujua kinachoendelea kati yao? Kama umeuchoka uhusiano wako na yeye mchunguze.

2. Idadi ya wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi...


Hakuna mwanamke mwenye ujasiri wa kujibu hili swali kama akiulizwa na mpenzi wake. Ni ngumu mwanamke kukiri ni wanaume wangapi wamewahi kuuona utupu wake. Thubutuuuu..

3. Sababu ya kuachwa na mwanaume wake wa mwisho kabla yako...


Lazima atadanganya kwamba ni yeye amemuacha mwanaume. Atadanganya kwamba yeye ndiye amekosewa akaamua kumuacha mwanaume huyo.

4. Kujifanya mshamba wakati wa tendo kama vile hajawahi vile..

Huu uongo wanaume wengi wamewahi kuushuhudia kwa wanawake maana mwanzoni utadhani hawajui karufundi ka ule mchezo kumbe ni magwiji hatari. Kuna wakati wanapiga makelele wakijidai wanaumia kumbe uongo mtupu wananogewa hatari.

5. Yaani sina hata hela..

Jamani wanawake hebu mtuonee huruma basi maana hakuna siku mwanamke atakwambia ana hela kila siku atalalamika hana salio kwenye simu, hana hela ya salon, hana hela ya kyupi hana hela ya makochokocho ya ulimbwende na mambo mengine ya misosi na kadhalika.

6. Niko kwenye siku zangu...

Unakuwa na mitoko na msichana kwa kipindi kirefu labda, kakuchuna mbaya, siku inatokea anakuja maskani labda unataka ku doo anasema 'Kidundisha moyo wangu I'm on my period.' anasahau ni majuma mawili yaliyopita alikupa sababu hiyo hiyo. wakati mwingine wanaume huwa tunajiuliza hivi baadhi ya wanawake wanakuwa kwenye siku zako kila siku!

Mnatuchosha badilikeni.....
7. Sina mtoto.
 
Mwaga hela mwana hutopata usumbufu hata kidogo utaambiwa ukweli wote na maku utalazimishwa mpka kuipiga deki kwa ulimi

Pengine wewe mgeni na hawa viumbe, unaweza mwaga hela zikaenda kumufaisha mwanaume mwingine na bado ukazomewa kisogoni tu…
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom