Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
nachukia sana hawa watu wenye kuwajibu wenzao kijingajinga i hate that uvumilivu ushanitoka atakaye nijibu utumbo na mm i wil do tena mara mbiliyake sometimes watu wanaandika tu sababu anaandika sorry km umechukiaKulikua na ulazima wa haya bibie
hata physical appearance yake ilikuwa inaonyesha she was not okAnatumia ngada huyu nasikia..Kurudi sijui..Labda kwa kubip..Ila sio kama zamani
Nafahamu kuna watu wanakera na Muda mwingine inabidi ujitoe tu ufahamu uende nao sambamba sema ,muda mwingine kero zao zinavumilikanachukia sana hawa watu wenye kuwajibu wenzao kijingajinga i hate that uvumilivu ushanitoka atakaye nijibu utumbo na mm i wil do tena mara mbiliyake sometimes watu wanaandika tu sababu anaandika sorry km umechukia
Umenena Mkuu! nilikuwa sijaliangalia kwa jicho hili.Besta Bora alivyoolewa katulia, maana maprota wangempromoti mpaka wambakize kama Ray C ndio wangemwacha.
loh as a human being nilishindwa janaNafahamu kuna watu wanakera na Muda mwingine inabidi ujitoe tu ufahamu uende nao sambamba sema ,muda mwingine kero zao zinavumilika
Mmh daddy na wewe, mbona tunakuwaga na taste sawa mara nyingi lol. Those girls are simply talentedMaua sama na Grace matata nawaelewa sana Douta
Teh teh..Hilo ni zao la malezi bora pia Douta..Mzazi ukiwa karibu sana na mtt wako utakuta tu kuna vitu mnaenda sawaMmh daddy na wewe, mbona tunakuwaga na taste sawa mara nyingi lol. Those girls are simply talented
Hahaha exactly daddy ake, sasa maua sama, grace matata, afu Unamkumbuka yule hawa aloimba na diamond "nitarejea"... Huwa naona kama kuna Vitu vingi sana wanaendanaTeh teh..Hilo ni zao la malezi bora pia Douta..Mzazi ukiwa karibu sana na mtt wako utakuta tu kuna vitu mnaenda sawa
Douta usinikumbushe huyo Hawa aisee..Juzi kati nimeangalia interview yake unaweza kutoa machozi yani...Anatia huruma mpaka basi...Halafu kuna wimbo aliutoa huko poa tu..Ila haukupata airtime ya kutoshaHahaha exactly daddy ake, sasa maua sama, grace matata, afu Unamkumbuka yule hawa aloimba na diamond "nitarejea"... Huwa naona kama kuna Vitu vingi sana wanaendana
Maunda katulia kwa mwarabu wanalea[/QUOT
Kwa hiyo kurudi kunako game la bongo flava ni ndoto daah nimemumis sana uyu binti coz alikuwa anajua mpk anakera.....yaan cjui akina vanessa cjui linnah wakasome kwa huyu mdada coz katoa nyimbo mbili ambazo mpk leo zinaishiMaunda katulia kwa mwarabu wanalea
Aaah maskini, yule she anajua sana basi tu maskiniDouta usinikumbushe huyo Hawa aisee..Juzi kati nimeangalia interview yake unaweza kutoa machozi yani...Anatia huruma mpaka basi...Halafu kuna wimbo aliutoa huko poa tu..Ila haukupata airtime ya kutosha
Yeah..Na kuna yule Kadja aliyeimba maumivu sijui kakimbilia wapi..Nilisikia nyimbo zake mbili tatu zen nikaona kimyaAaah maskini, yule she anajua sana basi tu maskini
Eeh na yeye sijamsikia sikia siku hizi , labda anajipangaYeah..Na kuna yule Kadja aliyeimba maumivu sijui kakimbilia wapi..Nilisikia nyimbo zake mbili tatu zen nikaona kimya
Yeah..Ngoja tusubiriEeh na yeye sijamsikia sikia siku hizi , labda anajipanga
Maua sama na Grace matata nawaelewa sana Douta
Wengine hutoa single moja halafu hupotea mazimaEeh na yeye sijamsikia sikia siku hizi , labda anajipanga
Yeah..Ngoja tusubiri
Inakuwa ndo alitoka kwa kubahatisha au kuna Vitu amekosa vya kumpeleka juu zaidi?Wengine hutoa single moja halafu hupotea mazima
Wengine si nyimbo zao huandikiwa wao waimbe kwa makubaliano fulani ya kimdomo, na baada ya hapo mtu masharti na vigezo humshindaInakuwa ndo alitoka kwa kubahatisha au kuna Vitu amekosa vya kumpeleka juu zaidi?