Maumivu ya upendo wa kweli

Maumivu ya upendo wa kweli

Acha kabisa hayo maumivu. Kwangu hali ilikuwa mbaya wadau walijua nitajitoa uhai nikawaambia msiwe na hofu I am so expensive to die like an idiot. Miaka minne imepita ninaombwa msamaha kila kukicha. Siku nimetandikwa cha mbavu nilikuwa nakula chapati siielewi elewi ladha yake. Utadhani nilikuwa nikila ngozi kavu ya ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimpenda sana mkuu .. Labda ndo sababu

a e i o u
 
Leo ikiwa inatimia miaka miwili ...nimekumbuka maumivu na mateso aliyonipatia ...mwanamke wa maisha yangu .mwanamke niliyempenda kuliko maelezo ukimtoa mama yangu na mdogo wangu ... Yeye alifuata ... Hakuna kitu kinaweza elezea pendo letu tangu tukiwa wadogo .... Lakini siku moja aliamua kunisaliti ...nikiwa nipo hoi nasubiria kufanyiwa oparesheni ya mifupa ... Iliingia meseji na kunieleza kwamba mimi na yeye basi .
Kabla ya hapo .kuna tabia alianza kuonyesha kama vile kutojibu sms ... Kutopokea simu alibadilika hakuwa yule laly wa kwanza nlyemjua ... Kupiga picha ameshikiliwa kiuno ..na mwanaume mwingine ..ukijaribu kumwuliza vipi mama hii picha anakua mkali ... Tabia nyingi na za ajabu zilizuka .. Sikuamin nljua atabadilika nlimvumilia ...lakini ugonjwa uliponipata ... Akatuma hiyo text ... Na emoji za kuonyesha anakimbia ... Sitosahau nililia sana .. Nilijaribu kumpigia simu na mimi kumwomba msamaha ingawa yeye ndo alikua na makosa .. Haya maisha haya!!! Mama yangu alikua nyuma yangu kunitia moyo kwamba haya maumivu yatakwisha ..
Ni mwaka umepita laly anaomba msamaha anajuta alichokifanya ...nimemsamehe lakini nimemwambia amechelewa sana ulinidharau nilivyokuwa bongo hukuheshimu penzi langu ahadi zetu toka tukiwa wadogo laly sasa umesikia nipo texas unanitafuta ... Am very sory bora niishi hivi kuliko kusikia maumivu ya mapenzi. .ulitaka ujue mziki wa naughty boys nadhan wamekufunza ... Mtunze tu huyo mtoto uliyempata ... Ntamtunza mwanangu swalehe kwa nguvu zote

Wanawake ..mtu akikupenda kwa moyo wote usimchukulie lofa ama bwege fulani hivi sikuwahi amini haya maumivu yataisha... Lakini yameisha. Na kutia moyo ndugu yangu unayepitia maumivu ya mapenzi ipo siku yataisha ... Of course for me niliamua kutafuta furaha yangu mwenyewe sitegemei furaha kutoka kwa mwanamke. .. I still respect them despite the fact that laly hurted me and destroyed part of my life

Lakini nilinyanyuka na nikayatengeneza tena maisha yangu

Huwa nikikumbuka nilivyokua omba omba barabarani kisa laly bado naumia sana nikikumbuka nlivyofight laly ... Afaulu vizuri ... Nikikumbuka nlvyonusurika kubakwa kisa laly huwa naumia ... Nikikumbuka nlvyouza prize nliyopewa na ... Ili laly ... Dah huwa naumia ni vingi sana. .. I loved her. .

Kitu kimoja nakumbuka kusamehe ... Nashukuru psychiatric wote mlionisaidia nirud on normal condition.
I FOUGHT FOR MY LIFE AND MY HAPPINESS AND I FOUND IT BACK SO YOU CAN NEVER GIVE UP ... TIME IS THE BEST HEALER AND KARMA IS A BITCH Da vinci Mwifwa @ma sabrina Mshana Jr Shunie mumu
eti mimi nachekesha
dume zima unamlilia mwanamke?Babu yangu aliniambia mwanamke sio mtu wa kumlilia hata mara moja,na ikitokea umemlilia akaona machozi yako ile ni laana tayari lazma atakutenda tu huko mbeleni,mwanamke ndio anatakiwa akulilie sio wewe umlilie GUYS TAKE A NOTE KWA HILI
 
dume zima unamlilia mwanamke?Babu yangu aliniambia mwanamke sio mtu wa kumlilia hata mara moja,na ikitokea umemlilia akaona machozi yako ile ni laana tayari lazma atakutenda tu huko mbeleni,mwanamke ndio anatakiwa akulilie sio wewe umlilie GUYS TAKE A NOTE KWA HILI
Mm nmlilie mwanamke hahahahaahahahahhaahahahhhahahahahahahahaahahhhhhahahahaahahahahahhhahahahahahahahahahahahahahh
 
Back
Top Bottom