Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,100
- Thread starter
- #21
Jiwe kapata msiba mkuu tumwombee mungu ampe nguvu
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
Jiwe kapata msiba mkuu tumwombee mungu ampe nguvu
SawaJiwe kapata msiba mkuu tumwombee mungu ampe nguvu
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
Mwombe zuri mkuuAaah sina hamu na hawa watu.Kuna huyu wangu nashindwa nimwombee lipi kati ya baya ama zuri!!Ila Dunia itamfunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hujachekesha umeeleza hisia zako maana napo ni kutoa ya moyoni kupata unafuu.Asante na usiku mwema
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
Hahaha mkuu. ..hiyo ni signature yangu ... Kuna wakuuu walinizingua et mi nachekesha humu ndanHata hujachekesha umeeleza hisia zako maana napo ni kutoa ya moyoni kupata unafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekata ... Nimetupa hadi line hadi simu na betrikweli ulikuwa umekufa umeoza na lofa kabisa kwake.....ila huyo alipenda tu hali yak au mali wala si upendo..angekujali wakati unaumwa...hiyo ni njia ya kukuonesha tu uhalisia...sasa dharau zake anaomba msamaha ili iweje...huyo atakuangamiza.....we haijalishi uko wapi iwe TEXAS AU TZ we achana naye tena kata mawasiliano acha kumuendekeza....
Hahaaaa nikajua mtu kaku diss huu Uzi wa historia ya machungu mkuuHahaha mkuu. ..hiyo ni signature yangu ... Kuna wakuuu walinizingua et mi nachekesha humu ndan
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
Atakuja tu wa kudiss subir uoneHahaaaa nikajua mtu kaku diss huu Uzi wa historia ya machungu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
AsantePain of the past- let it go
Sidhan mkuuunachekesha baba swallehe
ahahaha story ndefuMkuu ulinusurika kubakwa?
Ila hongera sana nakuelewa sana maana nami yaliwahi kunipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa hayo maumivu. Kwangu hali ilikuwa mbaya wadau walijua nitajitoa uhai nikawaambia msiwe na hofu I am so expensive to die like an idiot. Miaka minne imepita ninaombwa msamaha kila kukicha. Siku nimetandikwa cha mbavu nilikuwa nakula chapati siielewi elewi ladha yake. Utadhani nilikuwa nikila ngozi kavu ya ng'ombe.ahahaha story ndefu
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka sana ingawa sio mazuri ... Mungu anawaona hawa viumbeAcha kabisa hayo maumivu. Kwangu hali ilikuwa mbaya wadau walijua nitajitoa uhai nikawaambia msiwe na hofu I am so expensive to die like an idiot. Miaka minne imepita ninaombwa msamaha kila kukicha. Siku nimetandikwa cha mbavu nilikuwa nakula chapati siielewi elewi ladha yake. Utadhani nilikuwa nikila ngozi kavu ya ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuchizika mkuu ni wanasaikolojiaAisee mpaka kuchizika, viwango vyako vilizidi
Acha kabisa hayo maumivu. Kwangu hali ilikuwa mbaya wadau walijua nitajitoa uhai nikawaambia msiwe na hofu I am so expensive to die like an idiot. Miaka minne imepita ninaombwa msamaha kila kukicha. Siku nimetandikwa cha mbavu nilikuwa nakula chapati siielewi elewi ladha yake. Utadhani nilikuwa nikila ngozi kavu ya ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app