Maumivu ya upendo wa kweli

Maumivu ya upendo wa kweli

Nawashukuru wote humu ndani na aliyetengeneza jf .. Ashukuriwe ...asante mkuu majaliwa na wengine wote ambao mlikuja pm kunielekeza mambo yalivyo ya hawa viumbe niliwaelewa na nikawasamehe. Mbarikiwe

eti mimi nachekesha
 
Post nzima inahuzunisha ila hapo uliponusurika kubakwa tu mkuu
 
baba swalehe
If there are no ups and downs in your life it mean that you are Dead. Take a breath and move on,stop thinking about that bi*ch
Aahahahaha nshamsahau dah ilikua ngumu sana mkuu unajua ile umempenda mtu haucheat wala haufany chochote you just Make her happy hafu unaumwa unatakiwa uwe operated that woman betrays you ... It hurt ilikua ngumu ila nshampotezea now

Safi ndo maana tumasema loving worth is for Kids, Legend we Eat/Hit and run
 
Nshakua legend ila siwez hit and run nawaheshimu sana coz i have mom ila ningekua nimetotolewa ... Manina walahi wangekoma

eti mimi nachekesha
 
Pole mkuu ukiumizwa na mpenzi ndo kukua huko msahau kabisa ili upate Amani, hata nyie wanaume mkipendwa huwa mnatuumiza vile vile, nadhani duniani kila mtu huumizwa kwa mda, na nilichojifunza nikutokulaumu, Bali kumshukuru maana mpenzi hukupa fundisho na akili kwa maisha ya baadae ya mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na usiku mwema

eti mimi nachekesha
 
Back
Top Bottom