ina maana wanamchezea mchezo huyo x na huyo my girlfriend wake mpya? inawezekana hiyo picha ya kufanya tendo la uumbaji wameipiga siku hiyo hiyo aliyotumiwa.Nalog offPiga chini faster!
atalewa na mvinyo,mwambie ale parachichi.Nalog offjilie zako zabibu!
mkuu....ngumu iyo...
Nipo mzima wa Afya, Ila sasa uchumi mbovu umesababisha nikose hela ya Internet Cafe............Vipi mzee hutafuti house girl nije?LD wapi wewe?? Ulipotea sana my dear, welcome back jamvini.......I hope everything is alright.
limemchoma mnoo ukiona ivo ww endelea kukamua zamu yako sasa ila cha msingi ww usimfotoe tena picha okNimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
Halafu from that day onwards uwe unampa K Msela awe anakumega wewePiga chini faster!
mkuu ilo lisikuumize jua hapo huyo jamaa anampenda sana demu ndiyo maana anamharibia ili warudiane usikubali wivu wakutengenezwa uchukue nafasi katika akili yako.forget da past jenga future.
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?