ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
Anaeachwa siku zote anaumia kuliko anaeacha
ni kweli anayeacha hapati maumivu kwa maana tayari alikuwa kashajipanga kumwach mwenziwe....MAUMIVU kwa aliyeachwa ..pia aliyependa akiachwa anaumia sana
Anaeachwa siku zote anaumia kuliko anaeacha
Hahahahahaaaa ..... why this?
Ni kweli kabisa lakini ni ulimbukeni tu mwisho wa siku kila kitu ni kilekileHapana, anayevunja mahusiano huwa haumii ila upande wa pili wa anayevunjiwa mahusiano ndiye anaumia. Kwa kawaida anayevunja mahusiano anakuwa amejiandaa kwamba labda ameona weakness zako so si lolote f tena kwake au ana mbadala tayari so wewe ni nothing.
Mfano, upo kwenye relation na mtu then ikatokea ukachepuka na ulikochepukia ukaona ni bora na kuzuri kuliko kwa yule uliyenaye!! Utaumia vipi kuvunja uhusiano hapo??
First impression last conclusion
Karucee!!!!!( #mouth-open ..lol)
Hili swali linafaa kupelekwa kwenye kipimajoto itv na sio kwa great thinkers.
Hili swali linafaa kupelekwa kwenye kipimajoto itv na sio kwa great thinkers.