Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

Mapenzi ya utoto yana raha Sana. Unaweza dhani huwezi ishi kama mkiachana nae.

Ukikuwa utaona kawaida
 
Juzi juzi kuna msichana nilitokea kumpenda nika mtambulidha mpk home aisee mwezi hukupita niliachwa na matusii juu japo kidume nilikua najituma kusimamia show za hapa na palee kwa uchumi huu wa mama samia
Nime poteza test ya kupendaa kabsaa yaani najiaona watafauti kabsaa sina feelings za kupenda japo kuna wasichana wananifutilia nakuonyesha wana nipaenda naishia kuwakwepa naona kamabugtha flani..
Sitaki kusikia ishu za kupendaa
Nimeamishia mawzo yangu kwenye kazi now na maumivu yamepungua kiasi chake
 
hapo kaka ni kutulia tuu kwanza make hata mimi yalinikuta mambo nikiwa chuo mwaka wa pili. mahusiano yangu ya kwanza sikuwahi penda before
tulidumu minimal mwaka mmoja, alipoanza chuo mambo yalibadilika ghafla simu zika pungua ,txt zikapungua ,
nikimtafuta ananambia yupo group disc akitoka atanicheki , akitoka ana cool , nikimcheki pengine mambo mengi anajibu nimechoka alafu kesho nina test, hapo ndyo ulikuwa mwanzo wa shida kubwa katika mahusiano yetu .
 
Back
Top Bottom