Jonas hemed
Member
- Jul 23, 2018
- 21
- 6
- Thread starter
- #21
#respectInategemea ntu na ntu.
#respectInategemea ntu na ntu.
hapa bro umenipa point kubwa sana ilaNikuambie kitu dogo??
Tafuta mpenzi anayefanya kazi kama yako
Utanishukuru baadaae
hapa bro umenipa point kubwa sana ilaNikuambie kitu dogo??
Tafuta mpenzi anayefanya kazi kama yako
Utanishukuru baadaae
Huyo hatakusumbua kamwehapa bro umenipa point kubwa sana ila
itakuwaje kama tutafanana elimu pamoja na mshahara
hapa shughuli ipo ,Mapenzi ya utoto yana raha Sana. Unaweza dhani huwezi ishi kama mkiachana nae.
Ukikuwa utaona kawaida
asante sana Mkuu #Huyo hatakusumbua kamwe
Pamoja sanaasante sana Mkuu #
hapo kaka ni kutulia tuu kwanza make hata mimi yalinikuta mambo nikiwa chuo mwaka wa pili. mahusiano yangu ya kwanza sikuwahi penda beforeJuzi juzi kuna msichana nilitokea kumpenda nika mtambulidha mpk home aisee mwezi hukupita niliachwa na matusii juu japo kidume nilikua najituma kusimamia show za hapa na palee kwa uchumi huu wa mama samia
Nime poteza test ya kupendaa kabsaa yaani najiaona watafauti kabsaa sina feelings za kupenda japo kuna wasichana wananifutilia nakuonyesha wana nipaenda naishia kuwakwepa naona kamabugtha flani..
Sitaki kusikia ishu za kupendaa
Nimeamishia mawzo yangu kwenye kazi now na maumivu yamepungua kiasi chake
Mahusiano hayana formula sawa na kuingia mjini kwa mara ya kwanza #Mnaupa moyo kazi ngumu mno
ahsantee #maana ni miongoni mwa moja kati ya hatua za kimafanikio.Kupenda utapenda tu, ni suala la muda tu.
Karibu sana....kumbe kufunguka huwa kunasaidia make ningeteseka kivyanguvyangu aseeh # sasa naanza kuelewa kwenye upande wa mahusiano