Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,338
- 93,995
Rudi Hosp...jamaa alimis Gono ...akadhan ni U.T.I....
Watu Wa maabara ndo wakakupa dawa na drHabari wakuu,
Week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo, hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara wakaniandikia dawa hizi hapa Azithromycin 500mg kwa siku tatu nimemaliza dozi jana asubuhi lakini dalili zile bado zipo na leo asubuhi nimejaribu kuangalia kwenye uume nimeona kuna vimajimaji kwa mbali pia kama kuna visindano vinachoma kwenye njia ya mkojo.
Swali je, niende hospital leo ikiwa nimemaliza dozi jana au nisubiri kwa muda alafu ndio nirudi tena hospitali?
Hiyo ni gonorhea mkuu.Pata tiba sahihi.Habari wakuu,