Unaona sifa eehhh..!!Condom inamaliza utamu mimi huwa situmii hata siku moja
shaga weee wakifika 50+ wanakuwa kama wamebalehe upya kwa hiyo ndiyo wanakula dogo dogo .. mbaya zaidi ukute mke kashapata monopose .. waombee tu wasipate maradhi ukaja kuuguzaPole sana mumeo nae..... Huo umri si wa kutulia na familia jamani??
nauliza tu nani alikuruhusu kushika simu ya mumeo....?
Swali zuri hili.
Tangu nilipogundua ni simu ndio ilikuwa mchonganishi mkubwa katika mahusiano yangu. sihitaji urafiki na simu isiyonihusu kamwe
bora ufanye hivyo....Swali zuri hili.
Tangu nilipogundua ni simu ndio ilikuwa mchonganishi mkubwa katika mahusiano yangu. sihitaji urafiki na simu isiyonihusu kamwe
Pole sana mumeo nae..... Huo umri si wa kutulia na familia jamani??
shaga weee wakifika 50+ wanakuwa kama wamebalehe upya kwa hiyo ndiyo wanakula dogo dogo .. mbaya zaidi ukute mke kashapata monopose .. waombee tu wasipate maradhi ukaja kuuguza
nauliza tu nani alikuruhusu kushika simu ya mumeo....?