Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

Jamani naomba kuuliza.

Baba yangu ana matatizo ya mgongo kuuma yani akikaa sana chini bila kuegemea akiinuka analalamika mgongo.

Hii inatokana na nini mwenye uelewa please.
 
Natanguliza salamu wakuu,

Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisumbuliwa na mgongo na nina umri wa miaka 26, nimeshatumia dawa kwa nyakati tofaut lakini bado sijapona!

Maumivu huwa nayapata pindi;-

-Nikikaa sehemu kwa muda bila kuegemea sehemu

-Asubuhi nikiwa naamka

-Nikisimama kwa muda mrefu sehemu moja (ila hii ni mara chache)

Natanguliza shukrani wakuu

Mkuu dawa ipo tuwasiliane. Hii inatakiwa uitumie miezi mitatu
 
Jamani naomba kuuliza.

Baba yangu ana matatizo ya mgongo kuuma yani akikaa sana chini bila kuegemea akiinuka analalamika mgongo .

Hii inatokana na nini mwenye uelewa please.

Dawa zipo Mkuu jct tuwasiliane +255(0)714206306
 
Habar za mida ndugu zanguni?umepita mwaka sasa toka niumie mgongo nilipigwa na mti kwenye mgongo kwa kushindiia toka kipind hiko mgongo huuma na wakat mwingine hushuka had kiunon na Ile sehem palipogongwa na huo mti had leo nikipakandamiza naskia maumivu yake. Nimepima ESR na FBP na xray ila zimeonesha ilikua ni spasm tu na hakuna infection yoyote ila maumivu bado nnayo nimekuja hapa kuomba ushaur WA kitaalam nifanyaje maana nimeshatumia brufen na dawa za kuchua Lakin maumivu bado.... Nawasilisha
 
Hili tatizo la mgongo limenianza baada ya kuwa na hii gari ya sasa, nathibitisha ni sababu ya kuendesha gari.

Napata maumivu zaidi kama nitaendesha ktk barabara ya vumbi.

Naombeni uahauri!
 
1. Pole mkuu, maumivu yatakuwa ya misuli au mifupa ya pingili za mgongo!
2. Angalia ukaaji wako lakini pia angle ya kiti/mlalo yaweza kuwa sababu
3. Lakini pia yaweza kuwa shock absorbing mechanism ya gari hiyo sio nzuri kama ya awali kiasi gari inacheza sana (labda sideways) na kufanya uwe na movement (lateral kuliko ilivyokuwa awali)
4. Yawezekana ni tatizo ulilokuwa nalo kwa muda ila sasa linaanza kuonesha dalili nawe ukadhani ni gari hii ndio sababu

USHAURI; Pamoja na kuangalia hayo ya juu. Mgongo ni sehemu ya mwili ambayo ni muhimu sana, fika hospitali na uombe kuonana na daktari wa mifupa/viungo. . .Ortho
 
Habari wadau,

Naomba ushauri wapi nitapata dokta mzuri wa misuli especially ya mgongo. Kwa miaka mingi nimetatizwa sana na maumivu ya mgongo, miaka karibu nane. Sijawahi kupona. Nimezunguka hosp nyingi mjini na kufanya xray, ct scan na MRI lakini structure ya mgongo haijaonekana na tatizo lolote.

Hivi karibuni nimekuja gundua tatizo langu haswaa sio mgongo bali kuna msuli wa mgongoni ndio ambao unaniuma sana sana.

Ushauri ninaoomba ni;

1. Nirudi kwa madokta walewale wakubwa nliopitia kujieleza upya kuwa tatizo langu sio mgongo bali mfupa? Nimepita aghakhan mara mbili na specialists tofauti, hindu mandal, Ami na a few clinics na nimefanya sana physio.

2. Naomba ushauri wa doctor mzuri sana specifically kwa misuli na nature ya tatizo langu.

Ushauri pls.
 
Nami pia,Msaada dawa ya lowback pain.
Maumivu makali chini ya mgongo,
karibuni.
 
Habari wadau,

Naomba ushauri wapi nitapata dokta mzuri wa misuli especially ya mgongo. Kwa miaka mingi nimetatizwa sana na maumivu ya mgongo, miaka karibu nane. Sijawahi kupona. Nimezunguka hosp nyingi mjini na kufanya xray, ct scan na MRI lakini structure ya mgongo haijaonekana na tatizo lolote.

Hivi karibuni nimekuja gundua tatizo langu haswaa sio mgongo bali kuna msuli wa mgongoni ndio ambao unaniuma sana sana.

Ushauri ninaoomba ni;

1. Nirudi kwa madokta walewale wakubwa nliopitia kujieleza upya kuwa tatizo langu sio mgongo bali mfupa? Nimepita aghakhan mara mbili na specialists tofauti, hindu mandal, Ami na a few clinics na nimefanya sana physio.

2. Naomba ushauri wa doctor mzuri sana specifically kwa misuli na nature ya tatizo langu.

Ushauri pls.

Nami pia,Msaada dawa ya lowback pain.
Maumivu makali chini ya mgongo,
karibuni.
Mkikosa Dawa Huko Hospitali za kuweza kuwatibu Maradhi yenu .Nitafuteni mimi dawa ya kuwatibu maradhi yenu ninayo mukihataji matibabu yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Pole kiongoz chamcng kabsa kwanza ni kufanya vipimo kujua chanzo ni nini, coz unaweza ukawa hauna madin ya Calcium au ambayo inapelekea kulika kwa disc za m gongo na kupelekea mgongo kukuuma.

Pia naweza kukutumia majina ya dawa uingie Google na kuziSomankwanza jnc znavyofanya kaz
Maelezo zaidi 0714.912390
 
Polen sana
Ila dawa zipo na zinatibu
Pia sitawauzia mpaka niwaelekeze kwenda kwenye mtandao mkazisome kwanza jnc znavyofanya kaz mwilin
Maekezo zaidi 0714.912390 or whatsupp me
 
UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA
Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA UNAKWAMA.
1. UCHAFU HUO HUPELEKEA WADUDU WENGI KUISHI ENEO HILI KAMA BACTERIA,VIRUS, MINYOO YA KILA AINA NA UKUBWA MBALI MBALI
2.VYUMA KUTOKA VIWANDANI NA MASUFURIA YA ALUMINIUM YATUMIKAYO KUPIKIA
3. MAFUTA YALIYOGANDA KWENYE KUTA ZA TUMBO
4. MAWE
5.PRESERVATIVES( KEMIKALI ZINAZOZUIA VITU VINGINE VISIHARIBIKE)
MKUSANYIKO WA UCHAFU WA AINA ZOTE HIZI HUSABABISHA MATATIZO NA MAGONJWA YAFUATAYO;
1. KUTOPATA CHOO MARA MBILI NA ZAIDI KWA SIKU
2.KUWA NA GESI TUMBONI
3. TUMBO HUCHAFUKA MARA KWA MARA
4.MATATIZO YA MAGONJWA YA MOYO
5.KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME
6.MATATIZO YA HEDHI
7.UTI SUGU
8.KIUNGULIA
9.GANZI YA MIGUU NA VIDOLE
10.MIFUPA KUVIMBA
11.KUBADILIKA BADILIKA KWA KIWANGO CHA SUKARI KATIKA DAMU
12.MAUVIMBE MWILINI NA SARATANI YA TUMBO
13.MAGONJWA YA NGOZI
14. KUKOSA USINGIZI NA KUMBU KUMBU
15.MWILI KUKOSA NGUVU
16.HARUFU MBAYA MDOMONI NA KIKWAPA
17.MACHO KUTOONA VIZURI
18. UVIMBE WA TEZI DUME(PROSTATE GLAND)
 
Pole sana, mara nyingi hilo tatizo huwa linaanzia kwenye uti wako wa mgongo..kuna kuwa na tatizo katika nerves zako, waweza kutumia dawa za asili ni bora zaidi lakini kitanda cha Nuga best humaliza hilo tatizo kwa haraka sana, waweza kuwasiliana nami kama upo Dar unaweza kupatiwa huduma hiyo.
 
Pole sana..mara nyingi hilo tatizo huwa linaanzia kwenye uti wako wa mgongo..kuna kuwa na tatizo katika nerves zako...waweza kutumia dawa za asili ni bora zaidi lakini kitanda cha Nuga best humaliza hilo tatizo kwa haraka sana...waweza kuwasiliana nami kama upo dar unaweza kupatiwa huduma hiyo...0653299934

Ahsante kwa maelezo, nitakutafuta lakn nipo mkoan
 
Back
Top Bottom