POle mkuu kwa matatizo ya ma-watoto wako. Jaribu kumtafutia awe analala sehemu ngumu kama sakafuni au ktk godoro analolalia jaribu kuweka ubao mgumu ambao hautaruhusu kubonyea godoro inaweza kumsaidia. Pamoja na dawa za maumivu. Ila tembelea hosp ya jirani.
Habari!
Jamani nasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo sehemu ya chini (kwenye kiuno to be percise). Ni tatizo la muda mrefu sana, kila nikiwaona wataalamu napewa dawa za maumivu, haziponyeshi.
Kwa anayemfahamu mtaalamu wa kutoa tiba au dawa (iwe ya kienyeji au ya kisasa) YA KUONDOA TATIZO HILO KABISA tafadhali tuwasiliane kwa private message! Au la kama kuna ushauri wa kitaalamu nitafurahi kuupokea.
Asanteni
Mkuu hatuendi hivyo.Dogo!
Nimekuwa na tatizo kama hilo, kwanza inaweza kuwa infection, kama homa ya mifupa, ambayo inaweza kutibika kama ukipewa hizo dawa ulosema, vile sasa inakaa dawa hizo zimeshindwa, hapo inakuwa msagano wa 'vertebrae' hua grease zake zinakwisha, mie nimesumbuka lakini Doctor mmoja rafiki yangu aliniandikia dawa hii....Zyrtal MR, uliza wenye kuuza dawa dosage yake.
Natumai zitakupa Afueni!!!
Jamanh am having the same problem tena mimi ni both upper and lower back zinauma balaa,nikikaa,kusimama na kulala hakuna afadhali,kuna mtu kanambia nikamuone dr bake pale mail moja i heard ni doc mzuri wa mifupa,u can join me