Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

Sasa wewe mbona unatuchanganya? unazungumza kiingereza na huku ukichanganya na kiswahili?Chagua lugha ya English au kiswahili ili upate kusaidiwa au hutaki kusaidiwa matatizo yako?

Mkuu lakini si umeelewa? ama?
Sawa, ni hivi.., nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu sasa zaidi ya mwaka, nilienda hosipitalini nikaambiwa ninunue mipira flani ya kuvaa mgongoni na kiunoni, but still haisaidii, nimejaribu massage kwa hizi electrical massaging chairs lakini bado tu,
Nifanyaje?
 
Dawa ya Maradhi Mgongo Gundi ( hili gundi limekaa kama ubani wa kufukiziya ) ukiwaambia wenye kuuza madawa wanafahamu. Unasaga unakuwa unga.
Lozi ( unaroweka kwa maji ya mfukuto kisha unatoa maganda na unazikausha kidogo kwenye oven kisha unazisaga.)
Sukari ya Mawe au sukari guru (sukari nyekundu)

Hiliki

Zarafani
siagi kidogo
Maziwa

** Unayayusha siagi yako kisha unatia sukari (mawe au guru) kisha unatia lozi unachanganya kisha unatia gundi, hiliki na zafaran. unaiyepua unaitia kwenye sinia.

*** Ikisha kupoa unatia kwenye chupa au pahala kuihifadhi.

NAMNA YA KUTUMIA:- Kijiko cha supu kimoja asubuhi utakula na usiku kimoja.
MAZIWA UTAKUNYWA GILASI MOJA ASUBUHI BAADA YA KWISHA KULA HIYO DAWA NA USIKU GILASI MOJA BAADA YA KWISHA KULA DAWA.
 
Maumivu ya mgongo ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu tofauti.
Maumivu hayo hutokana na ukaaji kitako wa mtu, matatizo ya kibinafsi
(stress) pamoja na uzito wa mwili wa mtu mwenyewe.

Mara nyingi maumivu ya mgongo huanzia katika kiungo cha kiuno mgongoni na pia maumivu hayo hupandi hadi kufikia katikati ya mgongo.

Na wengi wao huumwa na aina ya mgongo inayoitwa "cervical and lumbar spondylosis" hii hutokana mifupa kuregea na kuachana katika nafasi zao.

Sababu:
Moja katika sababu za kuumwa na mgongo ni upungufu wa harakati za mwili. Mtu hatakiwi kujipweteka siku nzima ni lazima uwe na harakati ili mwili uchangamke na kwa yule anayeweza kufanya mazoezi basi vyema kufanya mazoezi hayo.

Kati ya sababu nyengine ambazo pia huchangia kuumwa na mgongo ni kwa wale wenye matatizo ya kidney na wenye matatizo ya kike (uzazi n.k)

Sababu hii ni sababu ambayo wengine wetu huumwa mgongo kwajili ya ukaaji sana kitako na pia kuvaa viatu vyenye heels refu.
Unapokaa sana ujue namna ya kukaa unatakiwa lazima unyooshe mgongo wako sio ushafika ofisini unajipweteka ndio hapo unaporudi unajikuta mgongo sio wako.
Na kwa wale wanaopenda kuvaa viatu virefu ni vyema wasivae viatu hivo ikiwa watakuwa na harakati nyingi au mwendo mrefu., kwani unalazimisha mascles zako zifanye kazi overload ndipo baadae huchoka zile muscles na hutoa maumivu ya mgongo.

Tumia dawa zifuatazo ili uweze kuponesha mgongo wako:

Kitunguusaumu: Garlic
Chukua mafuta yoyote uyapendayo ikiwa ya nazi au ya ufuta kiasi cha 60ml uweke katika frying pan na utie vichembe vitatu vya Kitunguu saumu yakaange mafuta hayo mpaka vitunguusaumu zibadilike rangi, baadae ujipake mgongoni bila kuchua na ukae nayo kwa muda wa masaa matatu baada ya hapo unaweza kwenda kukoga tena kwa maji ya vugu vugu (warm water).

NDIMU:
Kamua juici ya ndimu katika glass ya maji utie na chumvi kijiko kimoja kunywa kwa siku mara mbili. Mungu akipenda utapata nafuu.

Ulaji bora:
Mwenye matatizo ya mgongo anatakiwa ale salad kwa wingi kama vile tungule, carrot, cabbage, matango na vile vile anatakiwa achemshe hizi mboga mboga (asichemshe sana) pia anatakiwa ale fruit kwa wingi isipokuwa ndizi asile.
Ulaji wa asubuhi:
fruit na maziwa
Ulaji wa mchana:
mboga mboga zilizoshemshwa kdg tu pamoja na chapati za unga wa ngano nzima
Ulaji wa jioni:
Fresh juice au fruit.
Ulaji wa usiku:
Bakuli zima la Salad

Unatakiwa uache kula vyakula vya mafuta pamoja na vyakula vya sukari nyingi.

Sigara na aina zote za tobacco anatakiwa mwenye backache aache mara
moja.

Unaweza kujikanda kanda (pole pole) kwa kutumia mpira ya maji ya moto.

Tumia Dawa kisha unipe mimi Maendeleo yako unaendeleaje? Please give me your feedback

Mkuu thanks a lot for your useful post. Nitakutaarifu nini kinaendelea.
Be blessed.
 
unalalia godoro gani weye? jaribu kulalia godoro la COMFY na hayo maumivu yatabaki historia
 
Back pain is often considered a chronic condition, but for many it doesnt have to be. Back pain relief may actually be simpler than you think. Here are four tricks that research studies have demonstrated to lessen back pain:

1. Try Cymbalta. Though the drug is traditionally used as an antidepressant, recent research has shown that half of patients experienced 50 percent less back pain after taking Cymbalta. The FDA has even approved Cymbalta as a legitimate treatment for back pain.

2. Meditate. It doesnt always take drugs to conquer pain, in fact, something as simple and relaxing meditation has also proven effective in managing pain. Find a quiet place and shift your focus away from the pain.

3. Practice proper posture. By knowing some of the rules of ergonomics, you can both prevent and alleviate back pain. Follow thislist of simple tips on how to correctly sit at your desk and your body will surely thank you.

4. Eat some ginger. Ginger is not only a tasty spice, but it has also been found to reduce joint pain, particularly in the days following exercise.
While there may not be a one-stop-shopping fix to your back pain, one of these remedies may help you feel better today.
 
Ninasumbuliwa na Maumivu makali sana ya Mgongo wadau nashndwa kuelewa chanzo nini ila maumivu yamekuwa makali kiasi cha kuanza kupoteza nguvu katika miguu na Mikono nimeenda hspl kama mbili hivi madaktari ila bado sjasaidika sababu dawa nnazopewa ni za maumivu na hazinisaidii
 
Inabidi utafute daktari wazoefu wa mgongo, rudi tena hospitali jaribu kutafuta hao madokta watakusaidia.
 
Mkuu fafanua vizuri unaumwa umwaje na eneo lipi linauma.??

Jaribu kulala chini bila kuweka godoro tandika mkeka,zuria,box au kapet kisha lala chari ndan ya one week..
 
Jaribu njia hizi 2:
1. piga deki sakafu kutumia tambala badala ya dekio lenye mti - utaweza inama mbele, kulia, kushoto na kuinuka. Anza na eneo dogo lakini kila siku zinaposonga mbele ongeza eneo la kupiga deki.

2. ulalapo lala ubavu na uikunje miguu magoti yakielekea kugusa kidevu - sio lazima iguse kidevu. ukiwa katika posture hiyo weka mto katikati ya mapaja. unaweza kuwa hivyo hata usingizi unapokuchukua ingawaje ukigutuka unaweza jikuta umelala katika posture ulizozizoea. pia ukiwa idle kitandani tumia posture hiyo. Pia unaweza lala chali ukayainua magoti na kuyashika na kuyavuta kuelekea kifuani - kaa hivyo hadi unapochoka
 
Lala godoro ambalo halibonyei then husitumie pillow wala kitu chochote cha kuinua mwili, lala flat kila cku kama wiki 3,
hiyo dawa tosha utanipa habari.
Mi mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa ila nshakuwa poa kwa sasa.
 
habari wanajamvi

Naomba msaada,nina mdogo wangu anafanya kazi uwanja mmoja wa ndege hapa TZ,ni kawaida anapokua anaingia shift ya usiku,yeye pamoja na wafanyakazi wenzie hutandika maboksi chini na kulala kwani usiku hakuna kazi nyingi kama ilivyo mchana.

Sasa mwaka jana alianza kuhisi maumivu kwenye uti wa mgongo,akaenda hospitali moja na daktari alipoelezwa tatizo akamwandikia dawa za maumivu na kumwagiza akimaliza dawa na tatizo likaendelea arudi tena,tatizo halikuisha,ndipo dokta akamshauri akapige picha ya xray,alipoenda kupiga picha na daktari kuitazama akasema haoni tatizo bali hali ile imesababishwa na nature ya kaazi anayofanya,akamshauri asilale sakafuni na pia apumzike kila apatapo muda,cha ajabu tatizo bado linaendelea licha ya kufanya vyote,naomba kujua,inaweza kuwa serious ishu au ni kama doc alivosema?
 
Mwambie pooole saaana.

Yaweza kuwa slip disk. Na tiba yake ni kumeza dawa za maumivu kama Flamar-MX, au muvera na kulala chini. Mazoezi ya viungo mepesi yaweza yakawa msaada mkubwa kuirudisha hiyo sliped disk kurejea mahali pake. GOOD LUCK
 
Heshima wakuu
Kwanza nianze kwa kuuliza kuna uwezekany wa kuumwa maeneo ya mabegan upande wa nyuma na kwa ndani na uwepo wa vidonda vya tumbo?mana watu wanasema ni dalili ya vidonda vya tumbo naomba kwa anayejua dalili za vidonda vya tumbo je maumivu ya mgongo kwa ndani ni dalili mojawapo?
 
Nakushauri kwanza uonane na Doctor
 
Back
Top Bottom