mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 3,989
- 4,728
ndugu zang,habarin za mchana..leo nimekuja humu baada ya uvumilivu wa mda mrefu sana..kuhusu tatizo langu..na nlikumbuka ule usemi mficha ugonjwa basi kifo humuumbua.Mwenzenu nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali sana maeneo ya kiuno..na pia eneo la tumbo upande wa kulia linavuta sana haswa nyakati za usiku..mpaka mda mwingine nashindwa kulala...kabisaa..mwanzon nlijua ni matatizo yale ya kiume kama ngiri/chango..nikaanza kutumia dawa za kienyeji..kama wiki mbili hivi..bila mafanikio yoyote..naomben msaada ndug zang..kwa uzoefu..mlio nao..mana nlikwenda hospital..wakaishia kunipima mkojo na tyfoid tu...na majibu yakawa negative..