Maumivu kwenye kwapa

Maumivu kwenye kwapa

Joined
Jan 4, 2019
Posts
34
Reaction score
38
Habari zenu ndugu zanguni

Kuna maumivu ambayo nayapata kwapani ambayo sijui yametokana na nini

Yalianza juzi nilipo amka tu nikahisi maumivu kama kuna kipere lakini nikapuuzia

Ila jioni maumivu yakawa makali sana kiasikwamba mpaka nikapata homa ila nilimeza paracetamol homa ikashuka nikalala

Lakini jana nilipo amka tu nikakuta pamevimba pamoja na maumivu makali sana kiasikwamba hata kunyanyua mkono siwezi.

Msaada wenu jamani kwa anaye jua dawa au tatizo linatokana na nini
 
Kinaweza kikawa ni kijipu mbuzi hicho
 
M

Mara nyingi ni jipu la kwapani wahi haraka hospitali ni baya sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom