Naka boy
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 321
- 110
Habari wadau mimi huwa nafanya mazoezi ya gym kwa muda mrefu tuu, kilichonileta hapa ni kuomba ushauri wakitaalamu kwa muda wa kama siku tano hivi mfululizo nimekuwa nikisumbuliwa na kuuma kwa elbows ( joint za mikono) hasa ninapofanya zoezi la triceps.
Naomba ushauri ni jinsi gani ya kuweza kuondoa maumivu hayo.
Naomba ushauri ni jinsi gani ya kuweza kuondoa maumivu hayo.