Maumbile na maambukizi ya ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumbile na maambukizi ya ukimwi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaitaba, Dec 23, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni kuogelea (kuelea) tu

  Wataalamu naombeni majibu.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  uwezekano wa kupata bado upo kwasababu HIV huenezwa kwa njia ya damu! kama m/mke huyo akiwa anaumwa ukimwi basi hata wewe utakuwa katika 'risk' kubwa ya kubeba tu!
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ki vipi wakati hakuna mchubuko wowote uliotokea? maana uke ni mkubwa na uume ni mdogo
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Wengine hamkawii kuzama uvinza........
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenichekesha sana, huo utakuwa uroho wa fisimaji
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Ndiyo mkuu .......... tusije tukadhani upana wa ile kitu na udogo wa hii kitu ingine ndo tupo salaaamaaaa saliminiiiii...la hasha......... unaweza ukaipata kwa kuzama uvinza.......... kinyume na maumbile........ kulambalamamba vidole vilivyotoka uvinzani........ denda..........etc
   
 7. K

  Kijamani Senior Member

  #7
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukimwi unapata tu bro!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Du! mwafwa.
   
 9. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi sijakuelewa labda wengine
   
 10. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana!

  umekosea kabisa. ukimwi hauenezwi kwa nia ya mate. bali damu na majimaji ya ukeni/shahawa.

  mfano ukiwekewa maji ya kunywa yenye vvu ukanywa huataambukizwa ukimwi kwa sababu maji yatapitia tumboni, vinavyohitajika vitafyonzwa na mwisho makapi vikiwemo vvu vtaelekea ******. huo ndio ukweli.

  salama ya mtu mwenye uume mdogo(au hata mkubwa ambaye hakuchubuka) ni pale atakapokimbilia bafuni na akanawa vizuri mara tu apatapo mshindo. kuna wale walegeao sana baada ya kupata mshindo na kuchukua muda mrefu kutoka ukeni, hao ndio walio na hatari kubwa ya uambukizwa.

  msipotoshe ukweli!!!!!!!!!!!!
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 12. M

  Mende dume Member

  #12
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka wewe ndo unapotosha ukweli, sio shahawa wala maji ya ukeni kama yalivo huambukiza ukimwi, ni vyote hivyo pamoja na mate vikichangamana na damu yenye HIV.

  kibamia sio ndo kupona, kaka.

  lakini pia tusikomae kwenye ngono tu kama ndo chanzo cha VVU, ajali kwenye daladala karakana na kwingineko au hata mahospitali na majumbani tunako gusana na damu mbichi za wenzetu, au tunavyo wagusa wenzetu nk

  nk nk nk
   
 13. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bahati mbaya sina muda wa kubishana kwenye majamvi ya udaku!
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri kuchukua tahadhari bila kujali mwanamke ana uke mpana au mwembamba. Hakikisha unatumia kondom wakati wote. Michubuko inayosemwa si ile ya kuonekana au kusikia maumivu ya kwamba kuna michubuko. unaweza kuipata halafu usijue kama ulipata hiyo michubuko. Halafu kama pamoja na huo upana bado kulikuwa na msuguano uliokuwezesha wewe kupata mshindo, basi ni dhahiri kwamba msuguano huo unatosha pia kusababisha michubuko.

  Na kibaya zaidi ni kwamba uke ukiwa mpana, utachukua muda mrefu zaidi kwa mwanaume kupata mshindo na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata michubuko. Wanawake wenye uke mwembamba wakiandaliwa vizuri ni salama zaidi kuliko wenye uke mpana. Kama ulifanya naye bila kondom tafadhari chukua hatua kwenda kupima mara baada ya miezi mitatu ili kujihakikishia kwamba upo salama. Achana na ushauri wa kutoka humu ambao ni experiencial zaidi ambazo haziwezi kuwa sahihi.
   
 15. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Zuma style....kwanini usitumie kinga tu ya nini kujitoa sadaka???? ama muoe kama alivosema mkuu hapo juu
   
 16. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du mkuu umenishtua sana na hiyo statement nyekundu...maana mie sema kweli napenda lambalamba vidole toka kule uvinza....
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Kwa mwanaume kuna ukweli kiasi lakini kwa mwanamke si lazima kutokea michubuko. Katika mzunguko wa mwenzi, kuna siku ambazo mwanamke yupo prone zaidi na maambukizi (hata ama hakuna michubuko)iwapo atashiriki ngono zembe na mwanaume mwenye vvu.

  Kama unakusudia kusema kwamba ukubwa wa uke unazuia msuguano kabisa hapo inaweza kuwa sawa. Lakini binafsi siamini kama uke unaweza kuwa mkubwa kiasi cha kutokuwepo kwa msuguano kabisa (uke sio kama shimo ambalo waweza ingia bila kugusa kuta zake!).

  The best way ni kuacha ngono/ngono zembe.
   
 18. Willy

  Willy Member

  #18
  Dec 23, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 78
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Maambukiyi za virus vza ukimwi ni complex kidogo. Virusi vinakaa kwenze chembechembe nyeupe ya damu ndiyo maana ukiwa na ugonjwa wa zinaa ambao unaambatana va usaha basi uwezekano wa maambukizi unakuwa mkubwa. Siku za nzuma nilitoa maoni kuhusu wale ambao hawajatahiriwa wanakuwa na ule ute ambao una chembechembe nyeupe za damu ambazo zinazidisha uwezekano. kuhusu ukubwa na udogo nadhani lililo muhimu ni kuwepo kwa uchubuko unaoleta chembechembe nyeupe. samahani kuwa nimejaribu sana kurahisisha mabo hapa ili nieleweke kama bingwa wa kinga ya mwili wa binadamu
  Willy
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  mama yangu,we mgombea ubunge wa jimbo gani vile?
   
 20. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bado kuna kazi kubwa ya kuelimisha umma juu ya maambukizi ya ukimwi. Kuna maoni ya baadhi ya wachangiaji yameniogopesha... kama watu wanaofikiwa na vyombo vya habari uelewa wao ndio huu, najiuliza kule milimani kwetu hali ikoje!
   
Loading...