KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 605
Duh Nitonye mtazamo wako hauna mlengo mzuri. Kwanza kwa ufahamu wangu sio watu wote wanaotumia ARV wanajishghulisha kwa sana na mambo ya ngono kwasababu licha tu ya kuambukiza wengine bali hata wao wanaweza kupata uambukizo mpya. Halikadhalika, kuna baadhi ya watu wanaotumia ARV wakipiga game moja la maana huwa taabani kwa muda, na wengine uamsha magonywa nyemelezi waliyo nayo. Ifahamike kuwa kushindwa kwako kujilinda katika mahusiano kusitumike kuwanyanyaapaa wengine. Nawasilisha