Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Wametupa miez miwili ya kutupa elimu kwanza.
Huyo sasa amezidi alafu huyo mke anaonekana hana furaha ya kuolewa au kwa kua wako wengi haha
​risasi zipo au ni gobore tu..LOL
Huyu kaka ana matatizo, huyu ni mke wa nne, ndani ya miaka kumi kama sikosei... Dah... Alikuwa na watu wazima wawili, halafu akaoa kadada fulani keupe sana kanafanya benk fulani sasa sikui imekuaje ameoa tena... Hao wanawake anazaa nao kweli..!
Sheria imesainiwa lakini haijatangazwa rasmi, tiririkeni cha mwisho mwisho...
Hahahahaaa naona chemistry imegoma kabisa!
Ila kuna wanawake wana mioyo migumu sijapa kuona!