Mtangazaj wa itv-radio 1 maulid kitenge aka mau kite ameteuliwa kuwa msemaji wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT),huku Jenista mhagama akichaguliwa kuwa Makamo Mwenyekiti
Huyu Jenista Mhagama si Mbunge wa Peramiho? Sasa atakuwaje Makamu Mwenyekiti wa BMT?
Bongo bana mtu akiteuliwa kuongoza watu anakuwa kaula!
Hao wabunge kwa kugawiwa vyeo ni jambo la kawaida sana...Huyu Jenista Mhagama si Mbunge wa Peramiho? Sasa atakuwaje Makamu Mwenyekiti wa BMT?
Hii inaonyesha jinsi tunavyowaza matumbo tu.
Zile enzi za "Cheo ni Dhamana" zimepotea kabisa. Cheo sasa ni ulaji.
Ndio kusema kina Dalali (sijui wa nini) kumbe wamechaguliwa kwenda kula tu bungeni, sio kuwawakilisha wananchi.
Hao wabunge kwa kugawiwa vyeo ni jambo la kawaida sana...
nimjuavyo huyukijana ataongeza mke mwingine sasa hivi
kitenge sasa hivi ana wake wangapi?
nimjuavyo huyukijana ataongeza mke mwingine sasa hivi
mbt nayo ni kuula??????
kitenge sasa hivi ana wake wangapi?