grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 248
- 339
Aise wakurugwa, mlioweza mumewezaje....Leo asbuhi nimeamshwa na Kofi zito la mgongoni nikiwa usingizini...bila sababu yoyote..Mimi nikimlabua huyu mtoto wa baba mkwe huyu.
Nitajikuta Tena mahabusu.
Maudhi yanazidi aise..Bora nikatize likizo nirudi nilipotoka[emoji119]
Nitajikuta Tena mahabusu.
Maudhi yanazidi aise..Bora nikatize likizo nirudi nilipotoka[emoji119]