FATIKI wa TIFU
Member
- Apr 20, 2013
- 21
- 0
Unamjua mamito? Pole sana ila pengine mtuache kutuchanganya maana tunainvesti sana.....
Sasa shombo ya nini kama wifi? Zungumza basi unachokijua![/QUOTEwe
we lazima unamatatizo makubwa sana...nilitaka kukujibu kitu lakini inawezekana una laana sugu!
Jana
Ja.
J
Jamaaniii wachaga ndoo tunajifunza mapenzi zamahizi tuache jamani tukauze maduka yetu
Laana ipo ukoo wako wote!Sasa shombo ya nini kama wifi? Zungumza basi unachokijua![/QUOTEwe
we lazima unamatatizo makubwa sana...nilitaka kukujibu kitu lakini inawezekana una laana sugu!
wewe nimjinga, ukitaka kujua nani ana matatizo angalia ulivyo anza na uongo wa kike, siyo lazima uongelee kila kitu hata usivyo vijua, wala siwezi kubishana na wewe, mwendawazimu akikuibia nguo usimfukuze...sikuhurumii wewe nawahurumia wazazi wako kuzaa hicho kituko! bora wangee zaa jiwe au mavi ya kuku wakajua moja!Laana ipo ukoo wako wote!
kwani umeambiwa ni mchaga?
Munisi ni kabila gani vile?
Hawa jamaa wa Kaskazini bana,kuondoa roho zao,kutoa roho za watu wengine kwao ni kitu chepesi sana,mimi bado nina maumivu wacha tu nitoke kwenye hii thread maana saa hizi kama isingekuwa nguvu za mwenyezu Mungu ningekuwa nanyea debe!Hutaweza amini haya ila yatakapokukuta ukiwa na mahusiano ya kimapenzi na hawa watu ndio utaelewa ninachokizungumza.:angry:
Hata kama ni mapenzi jamani mbona ni ujinga kuua na kujiua na hayo mapenzi huyapati tena........
Poleni sana wafiwa.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!