Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
Hata mimi nimefanya utafiti zaid na kugundua kuwa kumbe jamaa aitwaye Francis aliyepigwa risasi baadaye alikufa. lkn pia kumbe siyo aliyeingilia penzi la Munisi bali jamaa mwingine ambaye labda atafahamika baadaye, huyu mkenya alikuwa "at the wrong place at the wrong time". Kitu kinachonishangaza ni kuwa huyo msababisha maafa siyo mzuri ki-hivyo maana naona wa kawaida sana na umri umeenda. Sasa huyu kijana - Munisi kama angekuja kwangu nikamchongea "Salary slip ya like Tsh 2M take home" mbona angepata binti wa hali ya juu tu hapa mjini kuwa mbadala wa huyo Christina?
Nina picha zake ktk angle tofauti lkn kwa ajili ya privacy yake huyo binti sitaziweka ingawa zimenisaidia ku-conclude with 97% confidence interval kuwa binti hana uzuri wa kusababisha maafa haya, Labda kama kuna kitu kingine. pia ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wote Xtina na marehemu Alpha walikuwa wana JF
hivi ni kweli kapuya alibakaa!!!???
mahakama zingine za kipuuzi na za kichwa cha kuku,nikuulize wewe umewahi kuumizwa mara ngapi na watu ambao umewategemea?Je ungekuwa na mahakama ya kichwa cha mbuzi kama hiyo ungekuwepo hadi leo?
Hii ni shule bora ingawa itachukua muda lakini tunaitaji kuona damu kadhaa zkimwagika haswa kwa wale wanaokimbilia wake za watu sina zaidi ya kusema rip mchaga
ID zao unazijua?Hata mimi nimefanya utafiti zaid na kugundua kuwa kumbe jamaa aitwaye Francis aliyepigwa risasi baadaye alikufa. lkn pia kumbe siyo aliyeingilia penzi la Munisi bali jamaa mwingine ambaye labda atafahamika baadaye, huyu mkenya alikuwa "at the wrong place at the wrong time". Kitu kinachonishangaza ni kuwa huyo msababisha maafa siyo mzuri ki-hivyo maana naona wa kawaida sana na umri umeenda. Sasa huyu kijana - Munisi kama angekuja kwangu nikamchongea "Salary slip ya like Tsh 2M take home" mbona angepata binti wa hali ya juu tu hapa mjini kuwa mbadala wa huyo Christina?
Nina picha zake ktk angle tofauti lkn kwa ajili ya privacy yake huyo binti sitaziweka ingawa zimenisaidia ku-conclude with 97% confidence interval kuwa binti hana uzuri wa kusababisha maafa haya, Labda kama kuna kitu kingine. pia ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wote Xtina na marehemu Alpha walikuwa wana JF
Sheria za JF haziruhusu kutaja ID za watu. Pia wanafamilia wasingefurahia hiloID zao unazijua?
Uko sahihi,kuua sio suluhisho la maana. Sasa ame-save nini! Ameiacha dunia kabla ya muda wake I can say so! Kokutona ndio tatizo la vijana wa siku hizi, huko vyuoni wengine wanashindwa kusoma kwa sababu ya wasichana na wana-disco!
Hujambo lakni!
sista hizi mambo huwa zinauma sana ndiomaana niliapa sitakuja kuwekeza kwa mchumba kwa kiwango hiki cha kumsomesha au kumfanyia mambo makubwa kwa minadi ya kuja kuoanaLuno umenichekesha sana
Dunia hii usipomshirikisha Mungu katika matatizo yako na kuamua kubeba mizigo mizito mwenyewe ndo haya yanatokea.
Ni kweli vijana siku hizi wamefanya mapenzi kama ndo dira ya maisha yao, wakasahau kuwa yalikuwepo na yatakuwepo tu, na kwamba kuna vitu muhimu zaidi ya mapenzi vya kufanya kwa ajili ya maisha yao ya baadae.
Pia hatuna hofu ya Mungu siku hizi.
Sijambo mdugu yangu, wewe mzima?