TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
Fake video
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unataka tusilaani mauaji ya wanafunzi hawa kwa kuwa muuaji alikuwa anafanya revenge?When Revenge begins, do not cry fowl! Remember an eye for an eye!
He he hee! Kwa vyovyote wewe ni mfuasi wa stori za uongo za Mohamed SaidWe mtoto wa juzi nani akuuze wewe? Mbona nyie vijana mnakuwa Waongo sana.!
He he hee! Kwa vyovyote wewe ni mfuasi wa stori za uongo za Mohamed Said
Wakristu huwa wanawachukulia watoto wote kwa usawa, wawe wa ndani ya ndoa au nje ya ndoa. Waisilamu huwa wanatamka waziwazi kwamba watoto wa nje ya ndoa (aka watoto wa zinaa) ni haramu. Hapo ndipo ilipo tofauti kati ya mafundisho ya kiMungu na ya kishetani. Mimi hata ningekuwa mtoto wa zinaa, bado najisikia fahari kulelewa na watu wengine hususan wakristu wanaotambua uwepo wa binadamu, tofauti na imani za kishetani zisizotambua baadhi ya binadamu!Mtoto wa zinaa utamjua Tu! Si afadhali mimi ninaemfuata Msomi anaekubalika Na mwenye Kuheshimika ktk jamii na anaefahamika! We kelbu hata Babako unamfahamu? Makafiri mnashida sana.
Laanatullah.
Wakristu huwa wanawachukulia watoto wote kwa usawa, wawe wa ndani ya ndoa au nje ya ndoa. Waisilamu huwa wanatamka waziwazi kwamba watoto wa nje ya ndoa (aka watoto wa zinaa) ni haramu. Hapo ndipo ilipo tofauti kati ya mafundisho ya kiMungu na ya kishetani. Mimi hata ningekuwa mtoto wa zinaa, bado najisikia fahari kulelewa na watu wengine hususan wakristu wanaotambua uwepo wa binadamu, tofauti na imani za kishetani zisizotambua baadhi ya binadamu!
na huko unakokuita kuwapenda watoto wote ndio maana kesi za kulawiti watoto zimeyaandama sana makanisa mpaka imefikia kipindi umoja wa mataifa unalipigia kelele kanisa kuu la vatican lisiwafiche maaskofu na wachungaji wabakaji.
Tazama hapa.
View attachment 229429
unyayasaji wa kingono wa watoto mnaojifanya kusema mnawapenda umevunja rekodi duniani.
Uchafu huu na maonevu haya wakristo mtamaliza watoto wa watu.
Acheni laana hii.
Kwa hiyo unataka tusilaani mauaji ya wanafunzi hawa kwa kuwa muuaji alikuwa anafanya revenge?
allah awafanyie wepesi huko waendapo
Mmetofautiana ufahamu kwa kiasi kikubwa mno, hivyo it's hard for you to grasp his/her language/intended meaning.
ALLAH awafanzie wepesi marehemu katika maisha yao ya barzaq. Amiin.
Ni hivi majuzi tu huko Mji mdogo wa Chapel Hill-North Carolina Marekani gaidi na muuaji amewaua kwa makusudi kabisa Watu watatu ambao walitokea tu kuwa Waislamu, lakini Dunia hii ilivyo ya kinafiki sijaisikia mahali popote Watu wakiandamana kupinga mauaji haya ingawaje imeshatambulika kwamba yalisababishwa na chuki dhidi ya Dini ya Kiislamu, mbona Kimya.
Na yule Rais Mchotara wa Marekani naye kimya kwa kuwa tu aliyeuliwa hakuwa Myahudi!
Kwani nako kulikuwa na kibonzo cha mohamad au alieua alikuwa anampigania Mungu wake au dini yake kwani ilikuwa ni jihad au crusade au kwani nani kakwambia waliuawa kwa sababu ya uislam wao na mbona ISIS au boko haram na alshabab wanaua waislam wengi hatujakuona hapa jukwaani.acha kutumia viroba tumia maji ni dawa.
Haswaaa,
ALLAH MTUKUFU ni muweza wa kila jambo, kama aliweza muumba ADAM pasina mama wala baba, atashindwa kuwafanyia wepesi hao ndugu zetu katika imani!!!????
ALLAH AKBAR,