Mauaji ya wanafunzi waislamu yazua hisia

Mauaji ya wanafunzi waislamu yazua hisia

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,333
150211162700_chapel_hill_shootings_north_carolina__640x360_twitter_nocredit.jpg


Maafisa wa polisi mjini Carolina kaskazini nchini Marekani wamemkamata mtu mmoja baada ya wanafunzi watatu waislamu kupatikana wamefariki nyumbani kwao.

Miili ya Deah Barakat,mkewe Yusor Mohammed Abu salha na dadaake Razan Mohammed Abu salha ilipatikana siku ya jumanne ikiwa na majeraha ya risasi katika vichwa .

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 tayari amefunguliwa mashtaka kutokana na mauaji hayo.

Maafisa wa polisi wanasema wanajaribu kubaini iwapo mauaji hayo yanatokana na chuki.

Suala kwamba wanafunzi waliouawa ni waislamu limezua uvumi katika mitandao ya kijamii wa iwapo mauaji hayo ni ya kidini au la

Uchunguzi uliofanywa umebaini kwamba uhalifu huo ulitekelezwa kutokana na mzozo unaondelea kuhusu uegeshaji wa magari,maafisa wa polisi wa Chapell wamesema.



Chanzo:
BBC
 
Sheria ichukue mkondo wake kwa mhusika/wahusika. Unlike bokoharam na alshababu walioshindikanika kudhibitiwa!
 
wacha sheria ichukue mkondo wake na hisia zikae pembeni.. ila ukweli uwekwe wazi kama ni udini ufahamike..

pole wafiwa
 
Hao walioua hao Raia wachukuliwe hatua, haiwezekani watu wauawe bila kosa
 
Mmetofautiana ufahamu kwa kiasi kikubwa mno, hivyo it's hard for you to grasp his/her language/intended meaning.

ALLAH awafanzie wepesi marehemu katika maisha yao ya barzaq. Amiin.
 
Allah anao uwezo wa kumfanyia mtu wepesi?

Haswaaa,
ALLAH MTUKUFU ni muweza wa kila jambo, kama aliweza muumba ADAM pasina mama wala baba, atashindwa kuwafanyia wepesi hao ndugu zetu katika imani!!!????

ALLAH AKBAR,
 
When Revenge begins, do not cry fowl! Remember an eye for an eye!
 
Huzuni sana kwa mzazi, mtu kabla ya kufanya chochote vifikiria wangapi wataumia kwa ajili ya ubinafsi wako, so sad

 
Last edited by a moderator:
Nkobe
Mjini Carolina nchini Marekani?
 
Last edited by a moderator:
Ni hivi majuzi tu huko Mji mdogo wa Chapel Hill-North Carolina Marekani gaidi na muuaji amewaua kwa makusudi kabisa Watu watatu ambao walitokea tu kuwa Waislamu, lakini Dunia hii ilivyo ya kinafiki sijaisikia mahali popote Watu wakiandamana kupinga mauaji haya ingawaje imeshatambulika kwamba yalisababishwa na chuki dhidi ya Dini ya Kiislamu, mbona Kimya.

Na yule Rais Mchotara wa Marekani naye kimya kwa kuwa tu aliyeuliwa hakuwa Myahudi!
 
Ni hivi majuzi tu huko Mji mdogo wa Chapel Hill-North Carolina Marekani gaidi na muuaji amewaua kwa makusudi kabisa Watu watatu ambao walitokea tu kuwa Waislamu, lakini Dunia hii ilivyo ya kinafiki sijaisikia mahali popote Watu wakiandamana kupinga mauaji haya ingawaje imeshatambulika kwamba yalisababishwa na chuki dhidi ya Dini ya Kiislamu, mbona Kimya... Na yule Raisi Mchotara wa Marekani naye kimya kwa kuwa tu aliyeuliwa hakuwa Myahudi!
Inasemekana imeandikwa iwe hivyo
 
Kwani nako kulikuwa na kibonzo cha mohamad au alieua alikuwa anampigania Mungu wake au dini yake kwani ilikuwa ni jihad au crusade au kwani nani kakwambia waliuawa kwa sababu ya uislam wao na mbona ISIS au boko haram na alshabab wanaua waislam wengi hatujakuona hapa jukwaani.acha kutumia viroba tumia maji ni dawa.
 
watu wa rangi au dini fulani wakiuwawa tena kinyama hakuna anayesema, that is world order! we must value all human.
 
Back
Top Bottom