Reasoning hawana wakuuKwa Nini hao askari wasiwe bize kulinda hyo misitu isivunwe,wakati mwingine mkaaa unaweza Toka kwenye shamba la mtu .wabunge wa sisi emu hawawezi kututetea wananchi wa Hali ya chini,tunalazimiahana kutumia gesi ambayo hatuimidu gharama zake
Ko hapo majizi wa mali za umma he? Kuzaliwa Africa hasa tz mi laaanaWamejitakia, kwa nini ufanye biashara ya mkaa bila kufuata sheria?
Depo jkt hao ndio displine sifuriHuyo jamaa nimemshangaa sana!
Unatumia risasi kwa mtu asiyekuwa na silaha.
Haikuwa porini mkuu, walikuwa barabarani na watu wa maliasili walikuwa wetega sehemu wakiwangojea, to mean that they intend to murder them that nightMaliasili kumuua booster wa mkaa sio sawa.kama ni jangili sana maana porini ni somalia ndogo anaemuwahi mwenzake ndie pona yake.
Watu wana stress mazeeAisee Una Moyo mgumu sana
Still hawajifunzi mkuu, maliasili soon watawekwa kwenye list kama ya polisi na raia,Hili tukio sio mara ya kwanza nasikia,Mwaka jana au mwaka juzi kulitokea kitu kama hili mlandizi,mali asili walikuwa wanafukuzana na hao bosster. Nadhan booster alikufa wananchi wakaziba barabara ya Morogoro.
So sad,Sheria itachukua mkondo wakeHaikuwa porini mkuu, walikuwa barabarani na watu wa maliasili walikuwa wetega sehemu wakiwangojea, to mean that they intend to murder them that night
Hatari sanaWatu wana stress mazee
Norway police waliwaspray waandamanaji usoni weeee ilikuwa kasheshe iyo disciplinary committee ilikesha usiku kucha na jeshi la police kuomba msamaha halafu waandamanaji wenyewe walikuwa waarabu wakipinga uvamizi wa Gaza. Halafu hii mijitu haiendagi kanisani na haimjui Yesu lakini ina utu balaa. Cha kushangaza enzi ziko za giza darkness ages ilipokuwa inamjua Yesu ilikuwaga mikatili na mi7aji.Haki huinua Taifa, bali uovu na dhuluma huliangamiza Taifa, wenzetu walioendelea(wazungu) wanabarikiwa zaidi naamini ni kwa ajili wanajali haki ya Uhai wa Mwanadamu pamoja na mapungufu mengine hili likizingatiwa vema linaweza kusababisha Taifa kubarikiwa
Daah aiseee mbaya sana huku Magogo ya Mninga yapo bandarini ya kumwaga yakipakiwa kuelekea China bila kibali chochote huku mtaani tupo busy tunauana kwa ajili ya mkaa...Haikuwa porini mkuu, walikuwa barabarani na watu wa maliasili walikuwa wetega sehemu wakiwangojea, to mean that they intend to murder them that night
Ukataji wa misitu labdaWabongo bhana tunauana kwa sababu ya Mkaa daah Nchi masikini tunajali sana vitu kuliko Uhai..
Ndio Maana huwezi kuua Mwisraeli ukabaki salama. Wanajali sana Uhai wa MtuHaki huinua Taifa, bali uovu na dhuluma huliangamiza Taifa, wenzetu walioendelea(wazungu) wanabarikiwa zaidi naamini ni kwa ajili wanajali haki ya Uhai wa Mwanadamu pamoja na mapungufu mengine hili likizingatiwa vema linaweza kusababisha Taifa kubarikiwa
Na hili ndilo linaweza kukuumiza zaidi mpaka ukashindwa kula, maana familia inapata pigo kubwa, kisa mtu wa maliasili mmoja asiye na reasoning, familia inaenda kutaabika bila msaada wowoteWanaume tunapitia mateso sana ili familia iende,hapo ukute ana mke watoto wazazi wote wanamtegemea.
Hapo ni sawa na kumua mama kuku.