Mauaji ya visasi

Unaweza kuthibitisha hili kwa mtiririko wa tukio lenyewe (as a process) tangia linaanza mpaka kuhitimishwa ili tuweze kuona na kuamini kuwa usemacho ni jambo la kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu nilishakuwa na muunganiko na jamaa zake kadiri siku zilivyoenda wakawa wananifungulia codes kwamba alipewa dili Canter imejaa sigara akapatana bei kwanza kwa kufika hela ndogo kisha akawakamatisha jamaa kwa askari then akazunguka upande wa pili kwamba yeye atamalizana na hao askari so wao wachukue sikumbuki bei but haikufika 2mill jamaa wakakubali but still akaiona ni nyingi akawapunguza tena hata walipokubali akawa pesa hawapi na mzigo askari mwenye file hanyooshi maelezo wakaja kutonywa na askari mwengine kwamba mzigo jamaa alishachukua na hata haukufika hapo kituoni.
 
Ndio kwanza natoka msibani...na bila shaka nitausindikiza msiba mpaka kaskazin... yes visas...na kisa kipo hivi...
 
Nyoka aligegeda mtu
Kibiblia "Nyoka'' amekua hivi alivyo baada ya laana. Ila kuna maeneo mengi tu kizazi cha "Nyoka" kinatajwa soma Mwanzo 6, 13, na Injili ya Yuda sura nzima utaona kizazi chake kilipoanzia.

"Nyoka" biblically ana uwezo wa shape shifting kuwa sio tu binadamu ila hata malaika: 2 Wakorintho 11:14.
 
Tuendelee na kisa cha sita
Hiki kilitokea miezi michache huko Katavi nadhani kati ya mume na mke

Wawili hawa.. Watu wazima kwenye uzee wao, walikuwa na mali nyingi hasa mashamba. Mgogoro wao ulianzia kwenye mirathi.. Baba kuona hivyo akatafuta/akakodi watu wamuue mkewe kwa dau la milion mbili, jamaa wakachukia kianzio kama 1.5M wakaenda kufanya kazi waliyotumwa..

Kufika kule wakamuita mama wakamwambia tumetumwa na mumeo tuje kukumaliza na tumeshalipwa 2M unasemaje? Mama akawaambia mimi nawapa 3M mkamuue yeye! Jamaa wakachukua mpunga wakaenda kumaliza mchezo
Baada ya mauaji mama akauza eneo walilokuwa wanaishi na kuhamia mbali.. Alikuja kukamatwa baadae
 
Kisa cha saba
Mauaji ya mchina hivi karibuni
Wote mnakikumbuka hiki kisa.. Ni wivu wa mapenzi, aliyeachwa aliwekeza pesa nyingi sana kwa mwanamke! Aliyeuwawa ni mtu tu aliyekuwa kamhifadhi mrembo baada ya kuachana na jamaa yake
Muuaji gari yake ilikutwa Iringa kaitelekeza kando ya barabara.. Alidhamiria kuwaua wote wawili lakini mwanamke akasalimika kimiujiza.. Kuna zawadi ya milion 700 kwa atakayefanikisha kumpata muuaji
 
FaizaFoxy
 
nipe picha na jina la mchina.
 
aisee
 
Kisa chako hiki hapa


Iringa: Adaiwa kumbaka mjamzito na kumsababishia umauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…