Mauaji ya visasi

Hawakuzaliwa siku moja bali walizaliwa na mama mmoja
Hawa alikuwa habebi ujauzito Kama Hawa mama zetu.uislam unaamini kain na abil walizaliwa tumbo moja tena mapacha.wakazaliwa dada zao na wao mapcha.saaa hapa ndo ukatokea ugomvi Nani amuoe dada wa mwezake.cain akataka kumuoa dada yake badala ya kumuoa pacha wa abil .ndipo walipokwenda kwa baba yao kuomba ushauri.wakaambiwa wamtolee Mungu sadaka kisa kinaendelea
 
Mmh hiki ni kisa kipya ambacho sijawahi kukisikia popote hata ndani ya imani yangu ya Kikrito
 
Biblia inaeleza kuwa hawakuzaliwa mapacha MKUU.
Sawa twende hapo kwenye biblia.inasema hivyo kuwa Cain ninmtoto was kwanza wa Adam na Hawa unasemaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20221017-082717.png
    8.4 KB · Views: 13
Sawa twende hapo kwenye biblia.inasema hivyo kuwa Cain ninmtoto was kwanza wa Adam na Hawa unasemaje?

Mwanzo 4:1
Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa BWANA.

Mwanzo 4:2
Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.

Katika Aya hizo Biblia haijafafanua waziwazi.

Tofauti na Aya hizi;
Mwanzo 38:27
Ikawa, wakati wake wa kuzaa walikuwapo mapacha tumboni mwake.

Mwanzo 38:28
Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mzalisha akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.

Hivyo hatuwezi kuhitimisha kuwa Walikuwa ni mapacha ilhali Biblia haijaeleza hivyo.
 
Mmh hiki ni kisa kipya ambacho sijawahi kukisikia popote hata ndani ya imani yangu ya Kikrito
Sawa tuache hayo .unasema Cain sio mtoto wa Adam.haoo vipi kwe ye aya
 
Attachments

  • Screenshot_20221017-082717.png
    8.4 KB · Views: 11
Sawa tuweke mambo sawa.mtoto wa Adam na Hawa wa kwanza NI Nani?.
Japo sisi waislam tunaamini alizaa mapacha
 
Sawa tuweke mambo sawa.mtoto wa Adam na Hawa wa kwanza NI Nani?.
Japo sisi waislam tunaamini alizaa mapacha

Mtoto wa Kwanza aliyezaa Hawa ni Laini,
Hivyo automatically mtoto wa Kwanza wa Adamu ni Kaini Kwa sababu alizaliwa kwenye ndoa ya wawili HAO.
Ingawaje kimsingi Kaini inaonekana Hakuwa mtoto wa Adamu
 
Mtoto wa Kwanza aliyezaa Hawa ni Laini,
Hivyo automatically mtoto wa Kwanza wa Adamu ni Kaini Kwa sababu alizaliwa kwenye ndoa ya wawili HAO.
Ingawaje kimsingi Kaini inaonekana Hakuwa mtoto wa Adamu
Hyo aya umeielewa lakini?
 
Attachments

  • Screenshot_20221017-082717.png
    8.4 KB · Views: 14
Sawa tuache hayo .unasema Cain sio mtoto wa Adam.haoo vipi kwe ye aya

Connection hii ya Nyoka, Hawa, Kaini.. Je ndio ufunuo ulioleta kizazi cha nyoka?
 
Hatimaye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…