chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 397
Mwandishi huna ueledi wa kuelezea hbr....
Kweli humu kuna vilazaUmeandika nini weye? mazito yako wapi?
China raia hawana silaha na haya hayatokei!
Cha maana ni kupiga marufuku kumiliki silaha..ni Majeshi TU.
Sasa visu na mapanga ni silaha za kijeshi mkuu? Navyo wananchi wasivimiliki?China raia hawana silaha na haya hayatokei!
Cha maana ni kupiga marufuku kumiliki silaha..ni Majeshi TU.
Ni ishara ya ugaidi ingawa serikali inakataaKichinjwa chini ya kisogo ndo magumu au kifo cha watu 8????
matusi ya nini ww pumbaf kweli , mazito si ndio hayo kwani mepesi hayo?