Naomba kushauri kwamba vyombo vyetu vya ulinzi viangalie kwa makini vurugu za Tanga kama zina uhusiano na mradi wa bomba la mafuta la Uganda - Tanga. Wakumbuke hoja mojawapo ya kuacha njia inayopita kwa jirani ilikuwa ni ukosefu wa usalama.
Sasa nawasiwasi kuwa inawezekana kuna watu wanajiandaa kuhujumu mradi huo kwa ku-create chaos/vurugu ili tukose wote. Naomba intelligensia isibweteke eti ni majambazi, wale wana tengeneza hofu ili kuonyesha eti na Tanga kuna fujo.