Asante sana mkuu, mimi ninahisi endapo wasingekuwa wamemshikilia ingekuwa story nyingine tena, ila ninaamini hata nisipofanya kitu mimi hatobaki salama.Pole sana, nikivivaa viatu vyako hata siwezi, mtoto wangu anaushika moyo wangu kumuua ni sawa na kuniua Mimi, walai nasema haijalishi huko maabusu nitakulipa tu na naweza kwenda mbali zaidi.
Issue yako wapo wasomaji humu ambao wanasimamia mamlaka husika, ungetaja tu majina, pengine ungepata msaada zaidi hata wakurudishiwa hela yako.
Wapo tayari kukaa kwenye jua kali na kichanga cha miezi 6 kuomba omba barabarani ili watu wamhurumie mtoto yeye apate pesa.Nadhani ni tamaa ya pesa iliwaingia.
Niliwahi sikia hili jambo ila sikulitilia maana.Wapo tayari kukaa kwenye jua kali na kichanga cha miezi 6 kuomba omba barabarani ili watu wamhurumie mtoto yeye apate pesa.
Anaona akikaa nae kivulini watu hawatatoa pesa
Binadamu ni wanyama wenye roho mbaya kuliko wanyama wote duniani.
Pole sana mkuu.
Nadhani ni tamaa ya pesa iliwaingia.
Shukrani sana mkuuMkuu pole sana,
Tunajifunza kutokana na makosa, wakati mwingine kuwa makini na mtu wa kumimbisha.
Naamini rangi nyeupe ndiyo iliyokukanganya , lakini "ku-google" ni muhimu sana hasa nyakati hizi za .com
Wanaume tumeumbwa mateso, pambana!!
"Don't involve yourself with something you can't handle"
Shukrani..!
Amina.Kufiwa na mtoto ni maumivu ambayo sipendi kabisa mtu mwingine apitie,nina miaka 2 sasa tokea kijana wangu atangulie ghafla tu ila bado naona kama ni jana tu ni kumbukumbu inayoumiza na ni kipindi pekee ambacho niliwahi kumkufuru Mungu wangu na kumuona si lolote.
Pole sana swahiba ila hakika Mungu ni mfariji hakika ule mlango uliosahau kuufunga ndio faraja yako itatumia kuingia kwako weka imani yako juu Mungu anajua jinsi ya kufariji.
Mkuu hivi hushawai jiuliza, hizo siraha za nyuklia katengenezewa nani...? ni Bin-Adam, Binadamu huyu huyu anayekuwekea plastic smile halafu behind the scene anakumaliza taratibu taratibu.