LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Ni usiku mwingine tena katika kitongoji cha Ilkiurei wilaya Arusha kijana mmoja kuuawa kinyama na watu wasiojulikana na hata hivyo kusababisha mkusanyiko mkubwa wa raia mtaani hapa baada ya kijana huyu aliyeuawa kujulikana hapa mtaani!
Hapa mpaka muda huu hakuna polisi waliofika na ingali taarifa kupewa kitambo na mwenyekiti wa mtaa ndg Hussen Abdul Leja!
Kwa walio karibu kabisa na marehemu alipouawa wanasema malumbano yaliendelea usiku wa manane baina ya marehemu na wale waliomwua na hata hivyo walishindwa kuamka wakiohofia usalama wao.
Picha ninazo na baada ya hapa nitafanya iwekanavyo nibandike!
Na marehemu kwa mawili matatu ninayopata hapa ni pacha na anafanya kazi katika kampuni ya usafirishaji ya abiria Hood Bussines Class ya hapa Arusha Mbeya!
Marehemu ni maarufu kwa jina pacha na nimebahatika kupata jina lake la pili na anaitwa HUSSEN na ni mzaliwa wa Mkoa wa Tanga!