Mauaji ya kutisha yatikisa JIJINI ARUSHA tena!

Mauaji ya kutisha yatikisa JIJINI ARUSHA tena!

HB.DOCTOR; Yani best wewe acha tu hutamani kusikia haya yametokea mazingira yenye makazi ya watu!

So sad!

Siku hizi ukiwa unashida na Policcm, huwa wanaitwa kwa kuambiwa kuwa Chadema wanataka kufanya maandamano basi watakuja haraka sana, au ofisi zao za CCM zinachomwa
 
Mkubwa yani polisisiem ni janga kwa Taifa letu!

Siku hizi ukiwa unashida na Policcm, huwa wanaitwa kwa kuambiwa kuwa Chadema wanataka kufanya maandamano basi watakuja haraka sana, au ofisi zao za CCM zinachomwa
 
Lala sama Pacha, mungu atakufufua siku ya mwisho! poleni wafiwa, mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu.
 
Back
Top Bottom