mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
Jamaa anaonekana kachoshwa na rai ile ya "weka picha" akajihami kwa chochote angalau.
mwenyewe nimeidadavua hii picha nimeona inapamungufu. kama jambazi anahand grunade anaua wote kwa mpigo. alafu huyo wa mbele ana hiyo guard, jambazi linasiraha ya moto itasaidia nini?
lakini nilivyoiangalia vizuri nikajua ilikuwa ni drill maana hapo nyuma jengo ni kama la police. hapo walikuwa wanafanya mazoezi kabla ya kwenda kumchakaza nduli.
Tabia za kipolisi hizo. Unaambiwa kuna serial killer halafu unataka ufafanuzi. Mbaya zaidi unasema 'kama... basi ataua wengi'. Kweli we ndibalema.Mkuu fafanua kidogo kwenye silaha anayoitumia.
Ni bunduki aina gani kwa maana ni pisto, gobore au zile za kivita?
Kama ni AK atamaliza wengi sana.
naskia watu wa pande za tarime huwa hawakamatwi kamatwi kwa kuwa ni watata mno.
Mmoja wa wahanga wa mtu huyu Katili ni Mhandisi wa Ujenzi Mwasi Matiko kwa kweli ni kitu cha ajabu sana ni mhimu kwa serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wauaji kama hawa hata kwa kuwanyonga hadharani...