Mauaji ya kutisha sudan kusini

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Ndugu JF
lile taifa changa kuliko yote la sudan kusini,wameanza kuuana na kuchinjana kama kuku,habari za uhakika zinasema zaidi ya watu 200 wameuwawa kati ya wafuasi wa serikali na wale wanaomtii mwanajeshi aliasi
sijui nini hatma ya Africa,maana kila siku kuna jipya,natamani na natoa wito kwa huyu mwanajeshi muasi aache kuua watu,African must unite
I dream for united states of africa
 

Habari mbaya sana hiyo! Poor Africa....
 

Mkuu nimecheki tovuti ya BBC nikaona hii habari kweli ipo, Poor Africa.


Click for Source
 

Tatizo kubwa ndio hilo mnataka kuungana badala ya kuwa kitu kimoja katika kutatua matatizo bila hii miungano uchwara. Nchi za magharibi wanashabikia hii miungano kwa sababu wanataka kuwatawala vizuri zaidi ni sawa wakati ule walipoligawa bara la Afrika ili walitawale vizuri.


BTW mauaji haya ni mbinu za serikali kutaka kuonyesha matatizo ambayo yatawakumba pindi wakijitenga, Waarabu na waafrika weusi nchini Sudan hawawezi kukaa meza moja.
 
Du kweli nimeamini sisi watu weusi wivu umetujaa, tukiambiwa tujitawale tena tunaleta vita haya!
 
Wakiendelea kuuana itabidi warudishwe kundini ili watawaliwe tena kwa manufaa ya nchi yao; inawezakana somebody somewhere anachochea mauaji ili kujustify kwamba they are not capable of governing themselves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…