JOSEPH MALULU
Member
- Jan 2, 2014
- 77
- 9
Serkal pamoja na wafugaj wakae pamoja il kutatua matatizo ktk secta hiyo. Upotev wa mifugo ni hasara kwa wa tz na taifa
Naomba ufafanuzi wa neno "kimbari" kama ulivyolitumia kwenye badiko hili...
Ni halali kuhusishwa na mauaji ya mifugo?
Soma jina lako utajua wewe ni nanimwanafyale said:Kwa hiyo unaona ni vyema waje wale mazao ya ndugu zako na kuwaacha wanakufa njaa? WW NI KENGE KABISA
Hao ni ng'ombe wa Tanzania au Rwanda?
Hata kama wangekuwa wa Rwanda aisee siyo halali
Sent from my iPad using JamiiForums
hata km ni wa rwanda ngombe wanatatizo gani?