Mauaji ya kigaidi Kenya

Status
Not open for further replies.

propaganda za muamerika na waitifaki wake dhidi ya waislamu na uislamu ndio iliyofikisha ulimwengu wa kuchukiana hapa tulipo. Walifanya ivo kuharibu taswira ya uislamu na waislamu kumbe ndio wakawa wanaupigia kampeni. Na ivoivo propaganda zenu hazitoiacha nchi yetu salama.
 

unatishia amani ya nch
 
Foolish,wazeni mtaacha lini kugongewa wake na watoto wenu huko kwa wasiooa kuliko kusemea msivyovijua
 

tatixo sio miskiti tatizo ni kuvamia somalia
 

Wewe upo na malengo maovu na chuki yako kwa uislamu haitousambaratisha uislamu. Kuwa mstaarabu ili dunia iwe sehemu ya amani. Unategemea nini baada ya fitna aliyoifanya amerika kwa Suni na Shia pale Iraq?
 
Mimi siamini kama walio uwa ni Magaidi wa Kisomali, ni Wakenya wwenyewe, sijui kama Sio mambo ya siasa, Uhuru kaiba kura za Odinga, Kamuuwa Prof Saitoti, sasa kasahau Kuwa yeye ni Bilionea na nusu au zaidi ya Ma Supermarket na Super Malls za Kenya ni zake.
 
Wewe upo na malengo maovu na chuki yako kwa uislamu haitousambaratisha uislamu. Kuwa mstaarabu ili dunia iwe sehemu ya amani. Unategemea nini baada ya fitna aliyoifanya amerika kwa Suni na Shia pale Iraq?
Wanaijua divided rule,ila wanajitia machizi ili waonekane wasemaji hapa jukwaani
 
Hakuna fitna yoyote aliyofanya America, ivi wewe unataka kuniambia mgeni anaweza kuwagombanisha na nduguyo?ninyi hampendani wenyewe tu, ila hamkosi wa kumlaumu.
 
poleni sana ndugu zetu kenya,ila nawashauri muangalie kwa makini utayari wa vyombo vyenu vya usalama,especially special forces,maana tukio limetokeajana saa sita na dk 50 mchana,mpaka sasa hivi bado hao magaidi hawajakamatwa.

Na sie bongo inabidi tujipange sawasawa kwa sababu tukio kama hilo linaweza kutokea hata bongo,

tukio kama hilo huwa linaitaji plan ya hari ya juu sana,na uelewa mpana sana katika nyanja mbalimbali,kwa wale waliosoma vitabu kama 90 minutes at entebe,kidnaping of the president,wanaweza kuelewa utete wa hari kama ya tukio hilo.
 

Attachments

  • article-2427892-1822E7C000000578-591_964x1296.jpg
    213.1 KB · Views: 138
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…