Mauaji ya HALAIKI OGADEN- Ethiopia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya HALAIKI OGADEN- Ethiopia

Discussion in 'International Forum' started by Zawadi Ngoda, Nov 2, 2011.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ogaden ni sehemu ya Ethiopia yenye wakazi wenye asili ya Kisomali. Eneo hilo limefungwa na hivyo kutopata mawasiliano na sehemu nyingine yeyote ya Dunia. Si ruhusa kwa waandishi wa habari wa nchi hiyo au kutoka nje kuingia katika Eneo hilo. Suala linakuja, ni nini Serikali ya Ethiopia inakificha?

  Inachokificha ni mauaji ya Halaiki yanayoendeshwa na serikali ya MELAZINAWI, waziri mkuu wa Ethiopia kwa wananchi wasio na hatia wa OGADEN. Nia ya mauaji hayo ni kutokomeza kizazi hicho na kuwajaza waethiopia wenye asili nyingine hususan 'AMARA', kabila lililotawala Ethiopia kwa miaka mingi. Na kisa hasa cha kufanya hivyo ni utajiri wa MAFUTA ulioko katika jimbo hilo, hivyo MELAZINAWI anaogopa ikiwa utajiri wa mafuta utakuwa chini ya Waethiopia hao wenye asili ya kisomali wanaweza kutaka kujitenga.

  Kinachonishangaza mimi, ni kuwa MELAZINAWI mwenye Asili ya KITIGRINYA toka Eritrea alikuwa mstali wa mbele kupigana na utawala wa MANGISTU (Muamara- Amarinya) aliyeliweka kabila lake kama kabila TEULE, na kudharau na kuendesha mauaji holela hususan Tigrinyi pale wanapodai haki zao. Melazinawi aliahidi kuleta haki sawa kwa makabila yote, lakini anachokifanya kwa wananchi wa OGADEN NI MAUAJI YA HALAIKI. Wakati wa njaa hufunga barabara zote kuhakikisha chakula hakipelekwi OGADEN, na kujipatia maelezo mazuri ya vifo vya wananchi hao.

  Mbaya zaidi ni pale ambapo Dunia imekaa kimya, na kinachoniudhi sana ni African Union kutosema lolote kuhusu hili suala. Wamarekani wamefyata mkia kwa sababu MELAZINAWI amewaahidi kuwadaka Magaidi na kuwapeleka Marekani. European Union wamekaa kimya kwa sababu Melazinawi amewaahidi kuwapa mkataba wa kuchimba Mafuta pale atapomaliza kuwaua wananchi wa Jimbo hilo hivyo kupata eneo kubwa lakuchimba mafuta bila mgogoro wa wananchi. Haya yote yananiuma sana Roho.

  BBC ilifanikiwa kuingia huko kwa siri na ukiiona hiyo taarifa machozi yatakutoka. Waandishi wa KISWIDI waliojaribu kuingia huko na kupata taarifa za mauaji ya Halaiki, wamekamatwa na Serikali ya Ethiopia na wapo mahakamani wakijibu mashtaka ya kuingia katika eneo hili bila ruhusa na kuhusika na ugaidi. Ndugu zangu waafrika hili ni jukumu letu kuzuia mauaji ya HALAIKI, Tusisubiri Wazungu waje watusemee kana kwamba sisi ni Mabubu. Enough is enough, Ethiopia -STOP MAUAJI YA HALAIKI OGADEN.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,055
  Trophy Points: 280
  mambo ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Darfur mliwaachia akina ngoswe? Mbona leo south of sudan iko huru? Mauaji ya halaiki yanahitaji kupigiwa kelele kwa nguvu zote.
   
 4. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Counting on AU is expecting a cake in an empty pot.Meles, will face the music of killing his fellow africans, it is matter of time. No human blood will freely go, it will always haunt someone, meles for this case.

   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  very sad ndugu zetu wanauwawa huko kwa ajili ya tamaa ya mafuta. Natumai Ogaden National Liberation Front (ONLF) watapata nguvu tena na kutetea watu wao kama enzi za nyuma ambapo walikuwa na jeshi lao (militia),sijui kama bado kuna jeshi tena huko.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na Kiswahili sahihi ni mauaji ya kimbari. Si halaiki. Na jamaa ni Meles Zenawi.
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Vita ya Ogaden haikuanza leo. Hiii vita chimbuko lake ni hii dhana ya "Great Somalia" waliyokuwa nayo Wasomali kabla ya utawala ndani ya nchi yao kusambaratika. Unakumbuka vita vya shifta nchini Kenya miaka ya sitini baada tu ya Kenya kupata uhuru? Isingekuwa msaada wa Uingereza wasomali walitaka kujimegea eneo la kaskazini mwa Kenya. Vivyo hivyo Ogaden. Lakini kilichosababisha ahueni huko Ogaden ni kuvunjika kwa central govenment nchini Somalia na wapiganaji wa Ogaden kukosa watu wa kuwapa misaada ya silaha. Hili la mafuta limekuja juzi tu lakini tamaa ya Wasomali wa Ogaden kujitenga na kuungana na wenzao wa Somalia imekuwepo kwa miaka mingi.
   
 8. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @Zawadi
  Je nikuulize sababu mkoa wa Kagera utamaduni wao na hata mila na desturi unaedana zaidi na waganda je Idd amini alikuwa yuko sahihi au Mkoa wa kageara ukitaka kujitenga basi Kikwete akubali tu wakati mipaka ya kiloni ndiyo inayotambulika

  Vipi kuhusu Kigoma ambayo historia inaonyesha ilikuwa ni sehemu za burundi nawabelgiji wakaamu kuigawa kwa tanganyika

  Unaweza kumlaumu Zenawi from outside lakini If u stand on his shoes kama muethiopia then hakuna options. Unles useme unaona Ogaden inatakiwa kuwa seheu ya Somalia. Na kwa kesi hiyo ukiwa rais basi wewe zawadi unaweza kujikuta unachia mikoa mingi tu.
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Ethiopia's Meles Zenawi has committed Genocide against various Southern Ethnic groups (Anuak, Sidama, Oromo and Ogaden).

  Meles Zenawi employees colonial European strategy to maximize conflict between ethnic groups in Ethiopia. Such tactics as providing military training and arms to one group to inflict massive casualties on civilians of another are common practice. This was seen during Genocide of Anuak people. Heavily armed highlanders with assistance from Ethiopian troops killed many Anuak civilians.
  http://www.mcgillreport.org/genocide_bro adens.htm
  Similarly, heavily armed Gumuz were assisted by Ethiopian troops in killing many Oromo recently.
  http://174.120.63.226/~hrlha/2011/10/eth iopia-persistent-perpetrations-to-mainta in-grip-on-power/
  In 2002, Ethiopia carried out massacre of Sidama people at Awassa (Looqe Massacre)
  http://www.sidama.org/documents/sidama-g enocide-2010-05-14.pdf
  By maintain conflict amoung the masses, neither grous have worked coehesively to remove this dictator. However, today the younger generous of Oromo (Qeerroo) are making significant gains to break this cycle. They are from different regions of Oromia and have varying religous backgrounds (Waaqeffanna, Muslim and Christians).
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hakuna "Mauaji ya halaiki" kuna "Mauaji ya kimbari" ndicho kiswahili fasaha msituharibie lugha
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Hakuna kibaya anachokifanya Meles Zenawi. Kiukweli Wasomali ni tatizo popote pale walipo na njia nzuri ya kuondoa usumbufu wa Wasomali nikuwatokomeza wafutike kwenye uso wa dunia.

  Wasomali hawafai kabisa maana hawawezi ishi na jamii nyingine kwa amani. Lazima sote tumpongeze Meles Zenawi kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutokomeza hawa maharamia
   
 12. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hivyo Mwl Nyerere alifanya kosa kutia mdomo kwa matatizo ya BIAFRA Nigeria.
   
 13. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Je haki ya kutaka kujitenga ni kosa? Mbona South Sudan wamefanya hivyo hivyo na kusaidiwa na nchi kadhaa zikiwepo za Afrika mpaka ndoto yao imetimia.

  Kwa hiyo unahalalisha mauaji ya halaiki yafanywayo na Ethiopia? Samahani bado sijaipata Point yako hapo, kama ni historia uko sawa lakini suala hapa ni mauaji ya halaiki.
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ahsante kwa kutufahamisha. Nalog off
   
 15. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kumbuka Eritrea ilikuwa sehemu ya Ethiopia. Melez Zinawi na Rais wa Eritrea leo 'Isayas' wakaungana na kupigana vita kwa nia ya kumtoa Mangistu. Isayas alipigana kwa nia ya kujitenga na baada ya vita akafanikisha lengo lake. Kwa sababu hizo hizo ilizojitenga Eritrea ndio wanataka kujitenga Ogaden.

  Ukiwa hutendewi haki, huna njia mbadala ila ni kujitenga. Sheria za Kikolono nyingi zimetenguliwa ikiwa pamoja na kuwapa haki wamisri (1929) kutumia mto Nile. Hii imetenguliwa mwaka jana tu.

  Nchi nyingi zimegawanyika nchini Afrika ikiwa pamoja na South Sudani toka ile mipaka ya Kikoloni. Liangalie suala vizuri ukizingatia haki za binadamu.
   
 16. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hongera ADOLF HITLER!
   
 17. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Hawa wote ni wasomali?
  "Ethiopia's Meles Zenawi has committed Genocide against various Southern Ethnic groups (Anuak, Sidama, Oromo and Ogaden)."
   
 18. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu nimesikitishwa sana na mtazamo hasi ulio nao juu ya somalis, kwangu mm hawa ni watu wazuri, kuwa na vita ya koo sio sababu ya kusema hawa ni watu wabaya. Hiyo amani uliyo nayo ww hai-justify watu wengine wauwawe wanahaki ya kutetea haki zao na maslahi yao. Ukifuatilia vizuri piracy ilianza kama ulinzi dhidi ya meli za magharibi zilizokuwa zinamwaga uchafu na kuiba samaki pwani ya somalia, bahati mbaya imebadilika na kuwa uharamia. Mkuu kuna siku utaona machungu ya kunyanyaswa kutokana na ethnity yako(la sivyo endelea kuishi hapo tz milele) nadhani hapo utakuwa kwenye shoes za wasomali wanachofanyiwa huko ogaden au wanubi wa south-sudan kabla ya kujitenga.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Haki ya kujitenga si kosa. Lakini hawa Wasomali wana ndoto ya kuunganisha maeneo yote wanayoishi Wasomali ikiwa pamoja na northern Kenya.
  Umesahau vita ya shifta? Sasa hivi nina hakika Eritrea wana "regret" kujitenga na Ethiopia. Raia wake kila wakipata nafasi ya kutoroka nchi wanafanya hivyo kwa sababu Eritrea ni mojawapo ya failed states. Wangebaki pamoja na Ethiopia.
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh! aliyekwambia eritrea ni failed state nani?

  Kutaka kuunganisha wasomali ndio iwe sababu ya kuwaua wote ...

  Au ndio yale mambo yetu kwasbb wasomali wengi ni upande mwingine..
   
Loading...