Mauaji ya ccm tarime yasirudiwe tena!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya ccm tarime yasirudiwe tena!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 14, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,605
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  kwenu wandugu wote waliohusika kwa nia moja au njia katika mapigano na mauaji yaliyotokea kule TARIME.napenda kuwapa poleni sana za dhati
  kabla ya yote naomba mmjue si mpango wa mungu kuleta mauaji kama yale bali ni tamaa za kibinadamu za chama cha mapinduzi na wanachama wake
  hakika itachukua muda kusahau ila napenda kuwapa pole ssaana sana

  PILI:
  nimeona nivyema kuomba kwa wale wanachama wote wa ccm waliohusika na mauaji na maumivu ya ndugu zetu tunawaomba wasifanye tena na wala kurudia tena hasa katika uchaguzi zijazo!!!!imenitia shaka iwapo ntasikia msiba wa mbunge wowote na kuamini kwamba kuna mauaji yankwenda kutokea katika watanzania wenzangu wapiga kura!!!!nahisi hatujafikia wakati huu kuanza kuuana kinyama namna hii na pia tunaomba tuache ushabiki kiasi cha kuanza kukatana mapanga namna hii,ni huzuni kubwa kwa nchi yenye amani kama tanzania

  TATU:
  Tunaomba waziri wa ulinzi muwe makini katika swala la ulinzi wakati wa uchaguzi na kucha kukimbilia ushabiki wa siasa ambao kisheria bado hamajafikia huko!!!!kumbukeni swala la ushabiki ndilo lililo fanyika na kuruhusu mauaji kama hayo ya taarime!!inasikitisha kuona gari la polisi linapishana na gari la mualifu baada ya kuhakikishiwa wameshafinikisha mauaji yao na kuondoka ::hakuna nchi inayoruhusu upuuzi kama huu!!!mawazo yenu naomba muyaweke kwa kila mtanzania na badala ya kuamua kushabikia vyama vya siasa

  Makamba tunasikitika kwa jinsi ulivyokuwa unashabikia mauaji kama hayo ukiwa mze mwenye mvi za heshima kama wewe:hatutaki kuwaingilia kwenye chama chenu ila inasikitsha kuwahonga watu kama mtikila waende kuleta mapigano na mwisho kuishia kupigwa mawe!!!na baadae kukiri kwamba mlituma na kuomba msamaha kwa wananchi wa tarime aliyowafanyia!!!
  Pesa aiwezi ikanunua utu wa watu hata siku moja na kamwe msifikiri
  mnaweza kutumia umaskini wa watanzania ulioletwa na serikali yenu kuwaingiza watumwa wenu pale DODOMA bungeni::

  Napenda kuwashukuru wananchi wa tarime kwa kuonyesha ushirikiaano na mshikamano wa hali ya juu kama ningekuwa na uwezo nigewamwagia degree kila mwananchi wa tarime pasipo kujali uanachama maana tyunajua hata mlioipigia CCM bado mlipiga kwa sababu ya njaa na si kosa lenu nawapongeza tena na muwe makini kwa siku zijazo kumbukeni mmechagua maisha mema kwa watoto wenu wa baadae !!!

  EEh mtumishi wa bwana MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE!!!WAPOKEE WATUMISHI WAKO WOTE WALIOPOTEA PALE TARIME KATIKA KUUULILIA
  WITO WAKO UNAOCHEZEWA NA CHAMA CHAKO TUKUFU CHA MAJAMBAZI GAFLA BAADA YA KUFARIKI KWAKO::HASA LEO HII TUKIKUKUMBUKA KWA MEMA YOTE NA MABAYA YALIYOTOKEA ....TUNAUMBEA KWA MUNGU AKUPE MAISHA MEMA UKO ULIKO .....NA YULE KIJANA WAKO BW ALI(ALI HASSANA MWINYI) ALIETAKA KUKUKAMATA PALE AIRPORT NAE ANAZIDI KUKUMBUKA KWA MEMA YAKO ..WALE VIJANA WALIOTUMWA NA MWINYI KUKUKAMATA LEO HII NI MIMI MMOJAWAPO .....NASHUKURU BADO NA AFYA NJEMA ILA TULISHUGULIKIWA KIDOGO KABLA YA HAKI KUFATA MKONDO WAKE::

  EE MWANAHERI NYERERE LEO HII CHAGUZI ZA UBUNGE ZINAFWATANA NA MAAUAJI NA KUOHONGWA KWA WAPIGA KURA PAMOJA NA VYAMA VYA UPINZANI VIKISALITIWA NA BAADHI YA VIONGOZI KAMA MTIKILA AKIKIRI ADHALANI KULIPWA KWA AJILI YA KULETA MAPIGANO CCM ISHINDE
  NASIKITIKA KUONA KWENYE TV UKILALAMIKIA RUSHWA KILA HOTUBA YAKO LEO HII BILA RUSHWA MWANAHERI WANAO HAAWAJAISHI TANZANIA KWA AMANI..RUSHWA MPAKA KUINGIA IKULU .....

  TUNAKUOMBA MUNGU AKUBARIKI AKULINDE NA MWISHO WAKUMBUKE VIJANA WAKO BENJAMINI .W.MKAPA KATIKA KESI ZAKE ZIJAZO ZA KUHUJUMU UCHUMI NA KESI ZAKE ZA EPA::pALE BOT EE MWANAHERI BWANA HUYU AMEFIKIA WAKATI WA KUIBA BILLIONI ZA WATANZANIA .....NA LEO ANATEMBELEA VOGI AMBAYO ANAAMINI ATAENDA NAYO MBINGUNI SIKU YA MWISHO UMREHEMU BWANA


  MWANAJF
   
Loading...