isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,410
Klu klux klan.Rudi kwenye klu klax Klan hili likikuwa kundi baya sana
Klu klux klan.Rudi kwenye klu klax Klan hili likikuwa kundi baya sana
Roth childs sio watoto wadogo wanaanzia IMF hadi sehemu yoyote, Hata juzi kipindi cha Ugiriki Imetikiswa kiuchumi Kuna maadhi ya media Zilisisitiza ni Mpango wa Hawa jamaa.Abraham Lincoln during the Civil War alimsikia mama moja akisema "Those enemies from the south have betrayed us" Lincoln akamjibu akasema "I have two great enemies, the southern army in front of me and the financial institutions, in the rear. Of the two, the one in the rear is the greatest enemy..... I see in the future a crisis approaching that unnerves me and causes me to tremble for the safety of my country. As a result of the war, corporations have been enthroned and an era of corruption in high places will follow, and the money power of the country will endeavor to prolong its reign by working upon the prejudices of the people until wealth is aggregated in a few hands and the Republic is destroyed. I feel at this moment more anxiety for the safety of my country than ever before, even in the midst of the war."
Wakati American Civil War imeisha Albert Pike ambaye ndiye alikuwa The MASONIC GRAND MASTER OF THE SCOTTISH RITE alikimbilia Canada baada ya Lincoln kusema He will punsihe the treacherous general.
Ukweli ni kwamba apart from North Korea na Libya bank karibia zote za dunia ziko chini ya hawa jamaa.
Teh teh teh na sasa hivi Libya katoka kabaki North Korea.
Tusubiri tuone.
Uko vizuri chiefSio linkolin....ni Lincoln
Sasa nimewaelewa mkuu, hao marais tofauti zao Lincoln inaonekana alikua mbishi na Andrew ni Mbabe..,sasa jamaa walijichanganya wapi wakachemka kumuuwa Andrew? Na Andrew aliwagundua vipi?
Kwenye gari ni kennedy, aliyepiga risasi alikua anaitwa oswardSidhani kama ilikuwa hivyo. Nilivosikia alikuwa ndani ya gari
Roth childs sio watoto wadogo wanaanzia IMF hadi sehemu yoyote, Hata juzi kipindi cha Ugiriki Imetikiswa kiuchumi Kuna maadhi ya media Zilisisitiza ni Mpango wa Hawa jamaa.
Linkoln akipigana usiku na mchana kuwapinga hawa roth childs wasije kufinance watu wa south maana vita ingekuwa mbaya sana.Na bado wengine wanahusisha kifo cha huyu mzee Lincoln na International Bankers. Maana aliyempiga risasi alikuwa ni undercover wa southerners alieishi north na inaonekana hawa bankers waliwekeza south ili wachochee vita, wenzetu wamepita mapito mengi wacha watawale dunia
Ahsante sana ndugu kwa darasaLincoln was a POLITICAL CLASS leader while Andrew was AN OFFICER CLASS,
As a war hero and a good soldier Andrew alinusurika kuuwawa maana muuaji wake alipiga risasi ya kwanza akakosea, na akatoa bastola ya pili tena akakosea Andrew akamuwahi akampa kichapo kitakatifu na bakola yake ya kutembelea.
Sasa Andrew alikuwa ni National War Hero,
He had a soldier's survival instincts. Alikuwa kama Thomas Jefferson alijua asipowawahi watamuwahi yeye.
Ndiyo akasema "THE CENTRAL BANK WANTS TO KILL ME. BUT I WILL KILL IT" na kweli alitumia ubabe kuwashinda hawa jamaa.
Maana angecheka sana wangemwondoa kabisa.
Huyo aliyeuliwa kwenye gari ni John F KennedySidhani kama ilikuwa hivyo. Nilivosikia alikuwa ndani ya gari
Pesa ndio kila kitu, Kuna watu wanaona kwenye dimension ya wanasiasa tu, Pesa ni vita, maisha, magonjwa, mapinduzi, siasa etcMayer Amschel Rotschild alishwahi kusema "Give me the power to control the country's economy, and i care not who makes the law"
Hawa jamaa ndiyo wanarun THE BANK OF LONDON mpaka sasa hivi. Juzi juzi tu Queen Elizabeth alienda kutembelea akawa anaongea nao.
They have been here long enough they run this game.
"I believe that banking institutions are more dangerous to our liberties than standing armies." - Thomas Jefferson.
"Whoever controls the volume of money in any country is absolute master of all industry and commerce." - President James A. Garfield
"Let me issue and control a nation's money and I care not who writes the laws." - Mayer Amschel Rothschild, 1790
"When a government is dependent upon bankers for money, they and not the leaders of the government control the situation, since the hand that gives is above the hand that takes... Money has no motherland; financiers are without patriotism and without decency; their sole object is gain." -- Napoleon Bonaparte, 1815
DO THE MATH MSEZA.
Hilo nalo nenoPesa ndio kila kitu, Kuna watu wanaona kwenye dimension ya wanasiasa tu, Pesa ni vita, maisha, magonjwa, mapinduzi, siasa etc
The Rothschild family are known to have funded the losers and the winners of all wars since the Napoleonic Wars of 1803 to 1815.they fund both sides so that whichever side wins, they profit.
hii dunia inawenyewe, ngoja sisi tuendelee tu kulima mkuu.
![]()
yap, kabisa aisee..Tupe vitu in deeply kama mdau niliyemquote alivyosema mkuu.
...kuhusiana na hii mada.
Asante kwa habari hii. Kwa hiyo huyo jamaa alipataje urais wa USA iliyokuwa vipande vipande!? Je alikuwa na mlinzi mmoja tu maana ni hatari mtu kuuwawa na mlinzi wako!? Najua hata Kabila Sir yalimpata haya.Abraham linkoln baada ya kuendesha vita vya wenyewe kwa wenyewe na kufanikiwa kulinganisha taifa maana bila yeye USA ingekuwa ni kama bara la afrika lenye nchi kibao. Na kitu kikubwa alichokifanya ni Kusign Imancipation decralation ambayo ilikomesha biashara ya utumwa na kuwaudhi pamoja na kuongeza uadui na wazungu wa kaskazini waliokuwa hawataki hiyo kitu, Kosa lililotokea ni bodyguard wake alipoondoka kidogo tu kuelekea kwenye saloon ya jirani ajipatie japo kinywaji. Jamaa aliyepangwa kitambo akapata chance ya kumpiga risasi. Alikuwa ni mtu simple asiye na makuu maana alitokea kijijini.
Unamaanisha MALCOM LUMUMBA mkuu?
Vita vilianza muda baada ya kuwa rais. Na chanzo ilikuwa yeye alitaka Watu weusi wawe huru, na kusini ndio ukumbuke mwaka 1619 ndio meli la kwanza lilitua pale na watumwa. Maisha ya dunia yalitegemea wale watumwa ili ulaya Waenedlee kupata raw materials kumbuka Triangula slave trade. Baadhi ya majimbo yakaasi. Hapo ndipo ilipozuka vita vikubwa sana. Ukumbuke pia huyu jamaa aliingia kwenye kiti cha urais akiwa hana uzoefu wowote kwenye siasa, Maana alikuwa na muda mfupi lakin alipendwa na watu sana. Na hii ndio sababu baada ya muda wa vita alionekana kazeeka wakati aliingia kama kijana. Isingekuwa yeye kuendesha Vita hivyo kwa ustadi wa hai ya kuu huku akizima kila uasi unaoibuka, na kubadili majenerali kila alip0hisi mmoja ni dhaifu akafanikisha Kuyarudisha majimbo yote yaliyoasi huku ikigharimu damu ya watu lukuki Japo ushindi wa mwisho kabisa ulipatikana muda mfupi baada ya kuuawa, Alikuwa anajipumzisha kidogo baada ya kazi nzitokwenye theatre akiangalia movie/maigizo.Asante kwa habari hii. Kwa hiyo huyo jamaa alipataje urais wa USA iliyokuwa vipande vipande!? Je alikuwa na mlinzi mmoja tu maana ni hatari mtu kuuwawa na mlinzi wako!? Najua hata Kabila Sir yalimpata haya.