Nilishafika kwenye Museams ya Lincolini , wanasema aliuwawa wakati akiwa theatre anaangalia movie kuna KKK mmoja ndo alimshoot Linc akiwa kwenye stage anaangalia akamshoot but inaonyesha ilikuwa ni inside mission
Abraham linkoln baada ya kuendesha vita vya wenyewe kwa wenyewe na kufanikiwa kulinganisha taifa maana bila yeye USA ingekuwa ni kama bara la afrika lenye nchi kibao. Na kitu kikubwa alichokifanya ni Kusign Imancipation decralation ambayo ilikomesha biashara ya utumwa na kuwaudhi pamoja na kuongeza uadui na wazungu wa kaskazini waliokuwa hawataki hiyo kitu, Kosa lililotokea ni bodyguard wake alipoondoka kidogo tu kuelekea kwenye saloon ya jirani ajipatie japo kinywaji. Jamaa aliyepangwa kitambo akapata chance ya kumpiga risasi. Alikuwa ni mtu simple asiye na makuu maana alitokea kijijini.
Ni kusini ndio waliokua wanangangania utumwa uendelee na sio kaskazini,kwani wao kusini alikuwa walima pamba na walikua na watumwa wengi so wakaona liwalo na liwe bora wajitenge kuliko kuwaachia watumwa ndo hapo vita ikaanza japo Lincoln hakutaka vita na kusini.
Lincoln awoke the morning of April 14 in a pleasant mood. Robert E. Lee had surrendered several days before to Ulysses Grant, and now Lincoln was awaiting word from North Carolina on the surrender of Joseph E. Johnston. The morning papers carried the announcement that the president and his wife would be attending the comedy, Our American Cousin, at Ford's Theater that evening with General Grant and his wife.
A Life Mask" of Lincoln made
shortly after his election in 1860.
At 11 that morning, Lincoln held a meeting with Grant and the Cabinet. After the meeting broke up, Grant gave his regrets that he and his wife could no longer attend the play that evening. Secretary of War Edwin Stanton pleaded with the president not to go out at night, fearful that some rebel might try to shoot him in the street. At lunch he told his wife the news about the Grants, and that he was reluctant to go. Pressing him to maintain their announced plans, they asked Major Henry Rathbone and his fiancee, Clara Harris, to join them.
After an afternoon carriage ride and dinner, Mary complained of a headache and considered not going after all. Lincoln commented that he was feeling a bit tired himself, but he needed a laugh and was intent on going with or without her. She relented. He made a quick trip to the War Department with his body guard, William Crook, but there was no news from North Carolina. While returning to pick up Mary, Crook "almost begged" Lincoln not to go to the theater. He then asked if he could go along as an extra guard. Lincoln rejected both suggestions, shrugging off Crook's fears of assassination. Lincoln knew that a guard would be posted outside their "state box" at the theater.
Arriving after the play had started, the two couples swept up the stairs and into their seats. The box door was closed, but not locked. As the play progressed, police guard John Parker, a notorious drinker, left his post in the hallway leading to the box and went across the street for a drink. During the third act, the President and Mrs. Lincoln drew closer together, holding hands while enjoying the play. Behind them, the door opened and a man stepped into the box. Pointing a derringer at the back of Lincoln's head, he pulled the trigger. Mary reached out to her slumping husband and began shrieking. Now wielding a dagger, the man yelled, "Sic semper tyrannis!" ("Thus always to tyrants"), slashed Rathbone's arm open to the bone, and then leapt from the box. Catching his spur in a flag, he crashed to the stage, breaking his left shin in the fall. Rathbone and Harris both yelled for someone to stop him, but he escaped out the back stage door.
An unconscious Lincoln was carried across the street to the Petersen House and into the room of a War Department clerk. The bullet had entered behind the left ear and ripped a path through the left side of his brain, mortally wounding him. He died the next morning.
ADVERTISMENT
Death Scene
Gideon Welles served Lincoln as Secretary of the Navy. On the night of April 14, he was awakened with the news that Lincoln had been shot. Together with Secretary of War Edwin Stanton, he rushed to Ford's Theater. They found the area packed with an excited crowd and learned that Lincoln had been taken to a house across the street. Clamoring up the stairs, Welles asked a doctor he recognized about Lincoln's condition. The physician replied that the President might live another three hours. We pick up his story as he enters the room where Lincoln lay:
"The President had been carried across the street from the theater to the house of a Mr. Peterson. We entered by ascending a flight of steps above the basement and passing through a long hall to the rear, where the President lay extended on a bed, breathing heavily. Several surgeons were present, at least six, I should think more. Among them I was glad to observe Doctor Hall, who, however, soon left. I inquired of Doctor Hall, as I entered, the true condition of the President. He replied the President was dead to all intents, although he might live three hours or perhaps longer.
The giant sufferer lay extended diagonally across the bed, which was not long enough for him. He had been stripped of his clothes. His large arms, which were occasionally exposed, were of a size which one would scarce have expected from his spare appearance. His slow, full respiration lifted the clothes with each breath that he took. His features were calm and striking. I had never seen them appear to better advantage than for the first hour, perhaps, that I was there. After that his right eye began to swell and that part of his face became discolored.
Senator Sumner was there, I think, when I entered. If not he came in soon after, as did Speaker Colfax, Mr. Secretary McCulloch, and the other members of the cabinet, with the exception of Mr. Seward. A double guard was stationed at the door and on the sidewalk to repress the crowd, which was of course highly excited and anxious. The room was small and overcrowded. The surgeons and members of the cabinet were as many as should have been in the room, but there were many more, and the hall and other rooms in the front or main house were full. One of these rooms was occupied by Mrs. Lincoln and her attendants, with Miss Harris. Mrs. Dixon and Mrs. Kinney came to her about twelve o'clock. About once an hour Mrs. Lincoln would repair to the bedside of her dying husband and with lamentation and tears remain until overcome by emotion.
An illustration of President Lincoln's death
scene published by Harper's Weekly
May 6, 1865
A door which opened upon a porch or gallery, and also the windows, were kept open for fresh air. The night was dark, cloudy, and damp, and about six it began to rain. I remained in the room until then without sitting or leaving it, when, there being a vacant chair which some one left at the foot of the bed, I occupied it for nearly two hours, listening to the heavy groans and witnessing the wasting life of the good and great man who was expiring before me.
About 6 A.M. I experienced a feeling of faintness, and for the first time after entering the room a little past eleven I left it and the house and took a short walk in the open air. It was a dark and gloomy morning, and rain set in before I returned to the house some fifteen minutes later. Large groups of people were gathered every few rods, all anxious and solicitous. Some one or more from each group stepped forward as I passed to inquire into the condition of the President and to ask if there was no hope. Intense grief was on every countenance when I replied that the President could survive but a short time. The colored people especially-and there were at this time more of them, perhaps, than of whites - were overwhelmed with grief.
A little before seven I went into the room where the dying President was rapidly drawing near the closing moments. His wife soon after made her last visit to him. The death struggle had begun. Robert, his son, stood with several others at the head of the bed. He, bore himself well but on two occasions gave way to overpowering grief and sobbed aloud, turning his head and leaning on the shoulder of Senator Sumner. The respiration of the President became suspended at intervals and at last entirely ceased at twenty two minutes past seven.
Hivi Wamarekani wanamfahamu Mwl J.Nyerere? Design flani kama naona utumwa kuwajadili hawa jamaa! wao kwani wanamjadili Nyerere? Hata sitaki kufahamu aliuwawa vipi
Amezungumziwa Lincoln na moja ya mambo aliyokuwa na msimamo nayo ni demokrasia that's why nikalizungumzia hilo kwa kulifananisha na hapa nchini..labda nimeenda mbali na mada utanisamehe kwa hilo.
Ndugu mtoa mada kama alivyoonesha.
Huyo ndiyo muuaji wa Abraham Lincoln anaitwa John Wilkes Booth.
Kabla hajafa alimuambia moja ya WALINZI Wake wa Ikulu "GOOD BYE" na nenda kupumzika lakini siku zote alikuwa akimwambia "USIKU MWEMA''
Ikumbukwe Abraham Lincoln amenusurika kuuawa mara mbili na mara ya tatu ndiyo wajanja wakampata wakamtanguliza mbele ya haki. Mara ya kwanza baada ya Uchaguzi 1861 Lincoln alikuwa anapita Baltimore na watu wakapanga kummaliza hata kabla hajaingi kwa ofisi.
Kwa bahati nzuri kulikuwa na Polisi moja kutoka Chicago Anaitwa Allan Pinkerton ndiyo alifanya ujasusi na kwenda kuyaingilia makundi ya nchi za kusini zilizojitenga na kugundua kwamba wana mpango wa kumuua Abraham kabla hajaanza kazi. Walisema hivi "that d—d abolitionist shall never set foot on Southern soil but to find a grave. One week from today the North shall want a new president, for Lincoln will be dead" wakimaanisha kwamba yule mvunja UTUMWA (Lincoln) hataruhusiwa kukanyaga ardhi ya kusini mwa Marekani; na wiki ijayo tutamuua.
Hili lilishindikana kwasababu taarifa zilifika mapema kwa Abraham Lincoln na watu wakamsubiri sana lakini hakutokea eneo la tukio. Japo, Lincoln alitaka sana kwenda lakini mke wake Marry alimsihi sana mwishowe akahairisha kwenda.
Lincoln wanahistoria wanasema alikuwa na mtu mkimya sana asiyependa kuongea lakini alikuwa na tatizo moja tu. "HAAMBILIKI" wala "HASHAURIKI" a common syndrome to most of the smart men.
Mara ya pili ilikuwa ni mwaka 1864 na hili lilifanyikia Ikulu ya Marekani.
Lincoln alikuwa kwenye farasi anatembea peke yake bila ulinzi na risasi ilimkosa kichwani ikapiga kofia yake na yeye akakimbia na kupona. Walinzi wake walisikia lakini Lincoln bado akaendelea na hii tabia yake ya kutoambilika.
Mara ya tatu ndiyo alienda Kwenye Theatre ya Ford kuangalia Play au Maigizo kwa lugha yetu.
Alipanda juu ya ukumbi kwenye nafasi ya raisi akiwa na mkewe pamoja na makamu wa raisi.
Ilikuwa raisi kumuua Lincoln kwasababu muuaji mwenyewe alikuwa ni muigizaji hivyo hata watu hawakuweza kumtilia maanani sana. Alipanda juu kamfuata raisi na alipanga kuwaua wote na makamu wa raisi.
Alifyatua risasi kichwani mwa Lincoln na akataka kumuua na makamu wa raisi lakini akamkosa na kisu.
Aliruka na kuangukia pale watu wanapoigizia na mara ya kwanza watu wakajua ni moja ya kipande cha maigizo lakini baada ya kusikia kelele za mke wa raisi ndiyo watu wakastuka. Wakati huu muuaji alikuwa amekimbia tayari.
Lincoln baada ya kupigwa risasi alikufa kesho yake akiuwa na mke wake na mtoto wa kiume pamoja na makamu wa raisi walioakataa kutoka kitandani mpaka alivyokata roho. Muuaji wake alikamatwa siku kumi na mbili baada ya kufa Abraham na jamaa alipigwa risasi akafa akiwa na miaka 26. Sasa anavyokufa aliishia kusema "USELESS, USELESS"
Huyu nyang'au alitafutwa na wanajeshi zaidi ya 10000, pamoja na wapelelezi na polisi.
Kipindi hichi ilikuwa na rahisi sana kumuua kiongozi kwasababu hata shirika la kijasusi kama Secret Service lilikuwa halipo.
Mwaka 1865 raisi Andrew Johnson alianzisha rasmi USSS (United States Secret Service Department) japo huu ulikuwa ni mpango wa Abraham Lincoln kabla ya kufa. Na hili lilitokana na kunusurika kufa pamoja kuzuia uharifu wa vita pamoja na kuzuia ujasusi wa nje ya nchi.
John Whiles Booth ndiye muuaji aliyefanya mauaji hayo ya Abraham Linkolin. Na hii ndiyo bastola aliyoitumia. Baada ya kumuua jamaa aliitupa bastola na kukumbia. Bastola hii hadi leo ipo imehifadhiwa ktk moja HISTORICAL SITES ZA marekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.